Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameitisha mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki siku ya Jumatatu kujadili amani na usalama katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kulingana na...
9 Reactions
58 Replies
4K Views
Tanzania imepata Mkopo kwaajili ya miundombinu na huduma bora kupitia mkopo Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA*) wa dola za Kimarekani milioni 278 ulioidhinishwa tarehe 13 Jun 2022 na Benki ya...
4 Reactions
63 Replies
5K Views
UKWELI KUHUSU LOLIONDO Naa Joseph #Yona Mgogoro wa Loliondo umeshika kasi huku Catalyst mkubwa kwenye mgogoro ni wenzetu wa Kenya, Tanzania inaweka mpaka kwenye eneo la Km² 1,500 tu la Pori...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili...
7 Reactions
109 Replies
8K Views
Mbunge wa Mvumi Mh Lusinde Kibajaji amesema Rais Samia ana roho nzuri sana ndio sababu Wamasai wanaohama kwa hiyari wanasafirishwa kwa mabasi ya kisasa. Lusinde amesema Tanzania ni nchi yetu wote...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Wizara ya Elimu imesema Tanzania itajenga Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Jijini Dodoma. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ni mojawapo ya maeneo ya urithi wa dunia (World Heritage Site - UNESCO) si kwa ajili ya ardhi yake bali kuwepo kwa makundi makubwa ya wanyama wahamao, maarufu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Arusha mh Gambo amesema Royal Tour imeleta mafuriko ya Watalii mkoani kwake na hadi sasa Hotel zote zimejaa hadi Disemba. Gambo alikuwa akichangia bajeti ya Serikali bungeni Chanzo...
7 Reactions
81 Replies
5K Views
Prof. Kabudi amemshukuru Rais Samia kwa kumteua kuwa mwenyekiti wa Kamati ya Majadiliano ya Kimataifa Kabudi ambaye ni mbunge wa Kilosa amesema cheo hiki ni kikubwa sana na hakuwahi kufikiria...
18 Reactions
112 Replies
7K Views
Ukweli mchungu, kwa ushahidi kuwa Wamasai wa Loliondo kwa Upendo wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan amewapa Km² 2,500 na wanakadiriwa kuwa 70,000 tu lakini Dar Es Salaam nzima ina eneo la...
10 Reactions
79 Replies
4K Views
UVCCM_ TAIFA JUNI 20, 2022 HISTORIA INAENDA KUANDIKWA. Ni Alhamisi ya tarehe 23/06/2022 Jijini Dar es salaam Historia Mpya inaenda kuandikwa. Ni Kongamano la VIJANA NA SENSA Mgeni rasmi atakuwa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mataifa mbali mbali hasa ya Kiarabu inasemakana yamenunua sana Aridhi Africa kwa minajiri ya kulima, au hata kuja kuishi. Kuna nchi kama Ethiopia, Kenga, Msumbiji na hata Tanzania. Swali ni je...
0 Reactions
3 Replies
881 Views
Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas ameishauri Serikali kuangalia utaratibu mzuri wa kupanua wigo wa Walipakodi badala ya kuongeza Kima cha Kodi Akichangia Mjadala wa Bajeti Kuu amesema...
8 Reactions
15 Replies
965 Views
Salaamm Wakuu, Hapa chini ni barua ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliyomuandikia Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakati huo Magesa Mulongo, akitaka akawaondoe Wasiwasi Wananchi wa Loliondo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kongole Mh.Samia Kwa Uwekezaji mkubwa katika Elimu Yetu Ila Usiruhusu Wizara Ya Elimu Kufanya Hili Kassim Mpingi Rufiji- Pwani Ni ukweli usiofichika Kwamba Mh. Rais Samia Amefanya Uwekezaji...
1 Reactions
1 Replies
801 Views
Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi...
17 Reactions
126 Replies
10K Views
Ni wakati akichangia Mada ya Nani anafaa kwa Urais wa JMT-2025. Kati ya MBOWE ,Lissu na Zitto Hii ilikuwa huko Club House jana. Nimemnukuu Sehemu ya Maelezo Yake...neno kwa neno... Msigwa: Urais...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea...
18 Reactions
59 Replies
4K Views
Wanaukumbi. Serikali yetu imefanya kwa nia nzuri kulinda mipaka yetu kwa kufanya zoezi la kuweka mipaka ya Nguzo kwenye maeneo yote Loliondo. Kuna wanaharakati njaa wanadai kuwa hamna Wamasai wa...
1 Reactions
6 Replies
703 Views
Jamaa ni mjivuni hasa na ni mtu wa nyodo! Bahati mbaya sana kwa wasiomtambua kwa undani hu-fake kwao eti ni mtu asiye na mawaa na ni mtu wa watu jambo ambalo si kweli alivyo. Kwa dharau zake...
2 Reactions
4 Replies
755 Views
Back
Top Bottom