Arusha bado kuna vibaraka wa Mkurugenzi Pima, mkinyamaza Arusha bado si salama

MkereketwaArusha

New Member
Jun 17, 2022
1
3
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na serikali kuona namna ya kuwaondoa hawa chawa ili kuendelea kuliacha jiji la Arusha salama na safi kabisa na wananchi wanufaike na kile wanachopata kutoka kwenye Serikali yao.

Mfano kama leo amepelekwa Mahakamani lakini hao hao chawa walienda kumuwekea Dhamana na hili wanaamua kwenda kumuwekea dhamana Mwizi na jambazi na hela za umma kodi za watanzania watu gani wanatetea wizi bwana mfano hawa ondoeni kabisa takataka hizi mlibakize jiji salama kabisa

Ondoa na hivi virusi kina Alhaji Akida ambae ni mkaguzi wa ndani, Hassan Hassani afisa elimu vielelezo, Batuli kisaya mwalimu kata ya Terati, Mary Mwita ambae ni kibarua wa mapato kwenye mizani, Laiteitei afisa uchaguzi ,Kina Florence ,Loisia yeye ni cashier, Ibrahim Kijanga katibu UVCCM mkoa, wote hawa ni vibaraka wa kushabikia wizi na kuchafua viongozi wanaosimama kupinga wizi wa mali za wananchi.

Hawa watu kama wanachukizwa na wizi wa mali za umma na watu kujilimbikizia pesa za wananchi walikuja mahakamani kumtetea mtu mwizi

Mh Kasimu Majaliwa asante sana kwa kutuondolea kirusi kilichokuwa kinakukwamisha serikali mnatoa hela anakula na mahawara zake sasa huyu Mary Mwita anafanya kaz gani kwasasa hivi

Ameletwa kaimu Mkurugenzi mpya ili asikwame kuleta maendeleo ondoeni hao chawa ili mumsaidie mama Samia kwa maslahi ya maendeleo ya wananchi wa Arusha.

Lakini sijui kwanini aliletwa mtu mtafuna mali za wananchi naomba filisi huyu mtu arudishe hela za wananchi halafu na ile nyumba alimjengea katibu mkuu nayo afilisiwe .

Alichokipanda ndicho atakachovuna

Mimi Mzalendo tu wa Arusha
 
Attachments

  • P1160695.JPG
    P1160695.JPG
    785.5 KB · Views: 11
Majizi yanasaidiana kwenye shida na raha hasa CCM hayatupani na shangaa sabaya yalimtelekeza! Hapo yanajadili jinsi yatajavyomwangamiza Gambo kupitia kwenye siasa maana alimtaja hadi KENAN KIHONGOSI katibu wa umoja wa vijana taifa, ccm ni majambazi ya taifa angalieni fedha amewekewa kwenye account na bado anadunda.
 
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na serikali kuona namna ya kuwaondoa hawa chawa ili kuendelea kuliacha jiji la Arusha salama na safi kabisa na wananchi wanufaike na kile wanachopata kutoka kwenye Serikali yao.

Mfano kama leo amepelekwa Mahakamani lakini hao hao chawa walienda kumuwekea Dhamana na hili wanaamua kwenda kumuwekea dhamana Mwizi na jambazi na hela za umma kodi za watanzania watu gani wanatetea wizi bwana mfano hawa ondoeni kabisa takataka hizi mlibakize jiji salama kabisa

Ondoa na hivi virusi kina Alhaji Akida ambae ni mkaguzi wa ndani, Hassan Hassani afisa elimu vielelezo, Batuli kisaya mwalimu kata ya Terati, Mary Mwita ambae ni kibarua wa mapato kwenye mizani, Laiteitei afisa uchaguzi ,Kina Florence ,Loisia yeye ni cashier, Ibrahim Kijanga katibu UVCCM mkoa, wote hawa ni vibaraka wa kushabikia wizi na kuchafua viongozi wanaosimama kupinga wizi wa mali za wananchi.

Hawa watu kama wanachukizwa na wizi wa mali za umma na watu kujilimbikizia pesa za wananchi walikuja mahakamani kumtetea mtu mwizi

Mh Kasimu Majaliwa asante sana kwa kutuondolea kirusi kilichokuwa kinakukwamisha serikali mnatoa hela anakula na mahawara zake sasa huyu Mary Mwita anafanya kaz gani kwasasa hivi

Ameletwa kaimu Mkurugenzi mpya ili asikwame kuleta maendeleo ondoeni hao chawa ili mumsaidie mama Samia kwa maslahi ya maendeleo ya wananchi wa Arusha.

Lakini sijui kwanini aliletwa mtu mtafuna mali za wananchi naomba filisi huyu mtu arudishe hela za wananchi halafu na ile nyumba alimjengea katibu mkuu nayo afilisiwe .

Alichokipanda ndicho atakachovuna

Mimi Mzalendo tu wa Arusha
"Nyumba alimjengea katibu mkuu" yupi sasa, wa wizara gani, au chama gani. Fafanua
 
Siasa zenu za kishamba zitawaangamiza wakati wa Haki.
 
Dk Kigwangala akiwa waziri wa utalii aliweza kupandisha idadi ya watalii kutoka laki nane kwa mwaka mpaka millioni 1.5 kwa mwaka, vigogo kadhaa walifika kutalii nchi yetu ,mfano Barack Obama na familia yake ,David Beckham walitalii mbuga ya serengeti mwaka 2018 bila ya royal tour wala nini. Ni mpaka baada ya kuibuka kwa ugonjwa wa corona mwaka 2019 nchi nyingi zikaweka lockdown na kufungia raia wake na mipaka yake ndipo watalii wakapungua Tanzania.
Sasa imeibuka tabia ya kutaka kuhalalisha ulaji wa billioni 7 za walipa kodi wa Tanzania kwenye filamu ya royal tour kwa kuhusisha kila mtalii anayekuja Tanzania eti ameletwa na hiyo filamu!!
Sasa tuambieni hii filamu ya royal tour imewawezesha kupokea watalii wangapi kwa mwezi na hapo kabla ya lockdown za Corona mlikuwa mnapokea watalii wangapi kwa mwezi? Ili tuweze kupima tija ya hii filamu yenu.
Dk Kigwangala jitokeze uweke rekodi sawa vinginevyo unajengewa picha kwamba hamna chochote ulichofanya kwenye wizara ya utalii.
 
Lakini sijui kwanini aliletwa mtu mtafuna mali za wananchi naomba filisi huyu mtu arudishe hela za wananchi halafu na ile nyumba alimjengea katibu mkuu nayo afilisiwe .
aliletwa ili awasaidie ccm muwanyang'anye chadema jimbo. Baada ya kufanikisha sasa mmemfanya toilet paper.
 
Kwani hizo hela wanazoiba wanagawana na mwenyekiti wa CCM?

Pinga hoja kwa kuweka hoja sio vioja!
 
Kikwete alishawahi kusema, huko halmashauri wamejaa mchwa.........pesa za kutekeleza shughuli za wananchi ndo zimekuwa za kugawana kiwiziwizi mixer na michepuko, yaani bongo bado kuna shida sana kwenye swala la uwajibikaji kwenye pesa na mali za umma. Wenzetu walioendelea hadi wanatupa misaada ni kwamba uwajibikaji kwenye pesa na mali za umma upo kwa kiwango cha juu sana.
 
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na serikali kuona namna ya kuwaondoa hawa chawa ili kuendelea kuliacha jiji la Arusha salama na safi kabisa na wananchi wanufaike na kile wanachopata kutoka kwenye Serikali yao.

Mfano kama leo amepelekwa Mahakamani lakini hao hao chawa walienda kumuwekea Dhamana na hili wanaamua kwenda kumuwekea dhamana Mwizi na jambazi na hela za umma kodi za watanzania watu gani wanatetea wizi bwana mfano hawa ondoeni kabisa takataka hizi mlibakize jiji salama kabisa

Ondoa na hivi virusi kina Alhaji Akida ambae ni mkaguzi wa ndani, Hassan Hassani afisa elimu vielelezo, Batuli kisaya mwalimu kata ya Terati, Mary Mwita ambae ni kibarua wa mapato kwenye mizani, Laiteitei afisa uchaguzi ,Kina Florence ,Loisia yeye ni cashier, Ibrahim Kijanga katibu UVCCM mkoa, wote hawa ni vibaraka wa kushabikia wizi na kuchafua viongozi wanaosimama kupinga wizi wa mali za wananchi.

Hawa watu kama wanachukizwa na wizi wa mali za umma na watu kujilimbikizia pesa za wananchi walikuja mahakamani kumtetea mtu mwizi

Mh Kasimu Majaliwa asante sana kwa kutuondolea kirusi kilichokuwa kinakukwamisha serikali mnatoa hela anakula na mahawara zake sasa huyu Mary Mwita anafanya kaz gani kwasasa hivi

Ameletwa kaimu Mkurugenzi mpya ili asikwame kuleta maendeleo ondoeni hao chawa ili mumsaidie mama Samia kwa maslahi ya maendeleo ya wananchi wa Arusha.

Lakini sijui kwanini aliletwa mtu mtafuna mali za wananchi naomba filisi huyu mtu arudishe hela za wananchi halafu na ile nyumba alimjengea katibu mkuu nayo afilisiwe .

Alichokipanda ndicho atakachovuna

Mimi Mzalendo tu wa Arusha
CCM mnajuana nyie
 
Pesa zinazopigwa Wizarani ni mara 90 ya halmashauri sema tu kwa vile kule hakuna madiwani
 
Huyo Hassan Hassan kwanza ni mshirikina sana,ana tabia za kujikomba kwa viongozi na kuwa chongea wenzake.
Batuli yeye kama Inzi (kinyesi kimoja hadi kingine)anatoa hapa anapeleka pale,muongoo na mzushi.Kuweni na tahadhari naye.
Poleni sana wandugu.
 
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na serikali kuona namna ya kuwaondoa hawa chawa ili kuendelea kuliacha jiji la Arusha salama na safi kabisa na wananchi wanufaike na kile wanachopata kutoka kwenye Serikali yao.

Mfano kama leo amepelekwa Mahakamani lakini hao hao chawa walienda kumuwekea Dhamana na hili wanaamua kwenda kumuwekea dhamana Mwizi na jambazi na hela za umma kodi za watanzania watu gani wanatetea wizi bwana mfano hawa ondoeni kabisa takataka hizi mlibakize jiji salama kabisa

Ondoa na hivi virusi kina Alhaji Akida ambae ni mkaguzi wa ndani, Hassan Hassani afisa elimu vielelezo, Batuli kisaya mwalimu kata ya Terati, Mary Mwita ambae ni kibarua wa mapato kwenye mizani, Laiteitei afisa uchaguzi ,Kina Florence ,Loisia yeye ni cashier, Ibrahim Kijanga katibu UVCCM mkoa, wote hawa ni vibaraka wa kushabikia wizi na kuchafua viongozi wanaosimama kupinga wizi wa mali za wananchi.

Hawa watu kama wanachukizwa na wizi wa mali za umma na watu kujilimbikizia pesa za wananchi walikuja mahakamani kumtetea mtu mwizi

Mh Kasimu Majaliwa asante sana kwa kutuondolea kirusi kilichokuwa kinakukwamisha serikali mnatoa hela anakula na mahawara zake sasa huyu Mary Mwita anafanya kaz gani kwasasa hivi

Ameletwa kaimu Mkurugenzi mpya ili asikwame kuleta maendeleo ondoeni hao chawa ili mumsaidie mama Samia kwa maslahi ya maendeleo ya wananchi wa Arusha.

Lakini sijui kwanini aliletwa mtu mtafuna mali za wananchi naomba filisi huyu mtu arudishe hela za wananchi halafu na ile nyumba alimjengea katibu mkuu nayo afilisiwe .

Alichokipanda ndicho atakachovuna

Mimi Mzalendo tu wa Arusha
Aiseee
 
Mtoa hoja unasomeka una chuki Sana, hueleweki shida Yako ni nini?? MSINGI WA hoja zako ni maumivu dhidi ya watu waliojitokeza kumwekea dhamana Dr Pima??

HAO WATU WANAFAHAMU KWAMBA HUYU BWANA KATENGENEZEA AJALI NA NDO MAANA UNAONA WANANCHI WAAMETULIA HAWANA RAHA SABABU THEY KNOW THEE TRUTH. WOTE WANAOSHANGILIA NI WALE WALIOGUSIWA MICHONGO YAO. WATU WALIOGUSIWA KWENYE UFISAD WAO WA MALI ZA JIJI NDO WANASHANGILIA. NA BAHAT MBAYA SANA HATA HAWAJUI KUJENGA HOJA, SI UNAONA ULIVYOANDIKA MAKOROKOCHO HAPO.
SISI TUNAFAHAMU TABIA ZENU .

MMESHAFANIKIWA KUMWANGUSHA NA AMEFIKISHW MAHAKAMAN, TULIENI SUBIRINI MAAHAKAMA ITAAMUA. KAMA KWELI ALIFANYA UFISAD ATAADHIBIWA, KAAMA HAKUFANYA ITADHIHIRIKA, MNAPATA WASWAS WA NINI?? TULIENI
 
Back
Top Bottom