johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,923
- 141,889
Ni ufafanuzi tu kidogo
Siku ya Bajeti ni maalumu na katika baadhi ya nchi watu hawaendi kazini
Waziri wa Fedha husoma Bajeti kuu ya serikali kwa niaba ya mkuu wa nchi
Hivyo mbwembwe fulani fulani kama bodaboda Ving'ora nk ni jambo la kawaida
Punguzeni nongwa