Hon. Omar Said Shaaban, representing the United Republic of Tanzania and the African bloc

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,279
24,150
15 June 2022
Geneva,Switzerland

Msimamo Tanzania wa kuunga mkono maamuzi ya kuondoa Uzuiaji wa Chakula kutoka


Mhe. Omar S. Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar ambaye ameongoza Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambapo ametoa salamu za Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 12 wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) wa Mawaziri unaoendelea mjini Geneva, Switzerland, akichangia mada inayohusu Changamoto za Ushirikiano wa Biashara ya Kimataifa WTO siku ya Ufunguzi wa Mkutano huo tarehe 12 Juni 2022.

Mhe. Omar Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar na Kiongozi wa Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoshiriki Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Shirika la Biashara Duniani (WTO), uliofanyika mjini Geneva tarehe 12-15Juni 2022, amewasilisha msimamo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuunga mkono maamuzi ya kuondoa Uzuiaji wa Chakula Kutoka Nje ya Nchi kinachonunuliwa na WFP kwa sababu za kibinadamu.

Awali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ilichelea kuunga mkono pendekezo hilo mpaka ilipojihakikishia kuwa uamuzi huo hautazuia nchi kuchukua hatua ya kuzuia ikiwa kuna tishio la usalama wa chakula source : Mhe.Omar S. Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar katika Mkutano wa 12 wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) | Tanzania Mission to the UN, Geneva

WTO Multilateral Trading Systems :
The WTO agreements are lengthy and complex because they are legal texts covering a wide range of activities. They deal with: agriculture, textiles and clothing, banking, telecommunications, government purchases, industrial standards and product safety, food sanitation regulations, intellectual property, and much more. But a number of simple, fundamental principles run throughout all of these documents. These principles are the foundation of the multilateral trading system.

A closer look at these principles:

Trade without discrimination​

1. Most-favoured-nation (MFN): treating other people equally Under the WTO agreements, countries cannot normally discriminate between their trading partners. Grant someone a special favour (such as a lower customs duty rate for one of their products) and you have to do the same for all other WTO members.

This principle is known as most-favoured-nation (MFN) treatment (see box). It is so important that it is the first article of the General Agreement on Tariffs and Trade (GATT), which governs trade in goods. MFN is also a priority in the General Agreement on Trade in Services (GATS) (Article 2) and the Agreement on Trade-Related Aspects of Intellectual Property Rights (TRIPS) (Article 4), although in each agreement the principle is handled slightly differently. Together, those three agreements cover all three main areas of trade handled by the WTO. READ MORE source: WTO | Understanding the WTO - principles of the trading system.

Makubaliano ya WTO ya Doha Development Agenda :

Issues:

Source : WTO | Doha Declaration explained

Minister of Trade and Industry of Zanzibar, Omar Said Shaaban, is in Geneva attending the World Trade Organisation conference representing the United Republic of Tanzania and the African bloc in the organisation. These are his statements in both sessions
 
Back
Top Bottom