Freeman Mbowe akutana na Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Jimbo la Hai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
-%20PICHA_%20Nimekutana%20na%20Kufanya%20mazungumzo%20na%20Kamati%20Tendaji%20ya%20Jimbo%20la%...jpg

Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , ambaye pia anafahamika kama Mtemi Isike , Laingwanaan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, Leo amekutana na Kamati ya Utendaji ya chama chake ya Jimbo la Hai , ambako ndiko alikopatia kadi ya uanachama wake.

Ikumbukwe kwamba Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Hai , ni miongoni mwa lundo la viongozi wa Chadema Tanzania nzima walioteswa mno na siasa za kidikteta za awamu ya kikatili iliyowahi kutokea Tanzania , ile Awamu ya kishamba sana, awamu ya 5, Wengi wa viongozi wa Chadema Hai wameuawa na kuteswa , huku wengi wao wakifilisiwa mali zao kwa sababu za kisiasa.

Leo Kaka yao amekutana nao ili kuwafariji kwa kuombea Makaburi ya waliouawa , kufariji Majeruhi na kupanga mikakati mipya ya kisiasa.

Mungu ibariki Chadema
 
Labda alienda kuwapa mgao Toka atoke jela kama gaidi uchwara hakuenda kuwasalimu ndg zake.

Harafu body language ya mbowe inaonesha anawanyanyapaa ndg zake huwezi piga picha ukikunja mikono ivo
 
Haya
 
Hivi yule Afande Ngosha aliyemwambia Mbowe hatoshinda ubunge wa Hai 2020 yupo wapi sku hizi?
 
Labda alienda kuwapa mgao Toka atoke jela kama gaidi uchwara hakuenda kuwasalimu ndg zake.

Harafu body language ya mbowe inaonesha anawanyanyapaa ndg zake huwezi piga picha ukikunja mikono ivo
"Kuna wazazi walizaa mavi na wengine walizaa watoto,mwanangu Zuchu ameninunulia gari" by Khadija Kopa

Wewe Mama yako unahisi alipokuzaa wewe alizaa nini?
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , ambaye pia anafahamika kama Mtemi Isike , Laingwanaan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, Leo amekutana na Kamati ya Utendaji ya chama chake ya Jimbo la Hai , ambako ndiko alikopatia kadi ya uanachama wake.

Ikumbukwe kwamba Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Hai , ni miongoni mwa lundo la viongozi wa Chadema Tanzania nzima walioteswa mno na siasa za kidikteta za awamu ya kikatili iliyowahi kutokea Tanzania , ile Awamu ya kishamba sana, awamu ya 5, Wengi wa viongozi wa Chadema Hai wameuawa na kuteswa , huku wengi wao wakifilisiwa mali zao kwa sababu za kisiasa.

Leo Kaka yao amekutana nao ili kuwafariji kwa kuombea Makaburi ya waliouawa , kufariji Majeruhi na kupanga mikakati mipya ya kisiasa.

Mungu ibariki Chadema
Mimba huwa ni ya miezi tisa tu.

Hii ya JPM ilikuwa kiboko sana.
 
hahahaa msanii mbowe katika ubora wake sasa hivi anatumia ile b. 6 ya ikulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom