Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kuketi leo Juni 21

Shabani Ajaha

Member
Aug 18, 2021
78
60
KAMATI KUU YA H/KUU YA CCM TAIFA KUKETI JUMANNE TAREHE 21 JUNI JIJINI DODOMA.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg.

Rais Samia anatarajiwa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa siku ya Jumanne Juni 21,2022 jijini Dodoma.

#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImara
#KaziIendelee
IMG-20220621-WA0120.jpg
 
KAMATI KUU YA H/KUU YA CCM TAIFA KUKETI JUMANNE TAREHE 21 JUNI JIJINI DODOMA.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. @samia_suluhu_hassan anatarajiwa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa siku ya Jumanne Juni 21,2022 jijini Dodoma.

#AlipoMamaVijanaTupo
#CCMImara
#KaziIendeleeView attachment 2267531
Tafadhali jadilini kwa kina na weledi kilichotokea ngorongoro na Loliondo waiteni viongozi wa ccm toka huko muwape nafasi waongee kwa Uhuru Nini kimetokea vinginevyo hicho kikao hakitakuwa na tofauti nacha kitchen party kinacho jadili zawadi ya mwali...
 
Hivi CHADEMA ilipotelea wapi.

Hatusikii hata mikutano yao, au na yenyewe ni sehemu ya maafikiano; kwamba wasitishe shughuli zao zote wakati majadiliano yakiendelea?

Tuanze kusema : Ni rahisi kuiua CHADEMA kwa Baridi ya Barafu, Kuliko Joto la Tanuri?
 
Kama mwenge ni wa uhuru wa taifa iweje UVCCM ndio wanaukimbiza?. Kwa nini wasikimbize vijana kama taifa badala ya UVCCM?
 
Back
Top Bottom