Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kigoma 2015, Nov 16, 2011.

 1. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  sendeka.jpg Baada ya Ole Sendeka kumtaka Lissu kurudi darasani eti shule yake bado sana.

  Katika pitapita zangu sehemu fulan nikaona mdau mmoja akisema kua mbona yeye alipata div 0 pale Old Moshi Sec?.

  Mwenye data zake atujuze wakuu.

  ==================

  Update;

  ===================
  [​IMG]
   
 2. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kama si kweli akanushe au ashughulikiwe ili asijaribu tena kuwachezea wasomi.
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Kama hizi habari ni za kweli.
  =================
  Wabunge kama hawa hawatufai. Kama ameshindwa hata kukariri kama kuelewa ni vigumu ili walau apate hata four!!.

  Kuna haja ya serikali kuwalazimisha wabunge warudi shule. Ni ujinga kuwa na mbunge aliyepata zero form six.

  Hawa ndio wanaosaini mikataba kijingajinga.
   
 4. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tena alisoma PCM
   
 5. m

  m.o.d.y Member

  #5
  Nov 16, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh!,kumtambia kote tundu lisu kumbe yeye form six, c ziligeukiana.kupitia ole sendeka nimejifunza kitu kimoja cha msingi ukiwa ccm huwezi kuwa na msimamo endelevu kama wa chadema.
   
 6. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kweli alisoma na kaka yangu Old Moshi PCM akapata Div 0.
   
 7. King2

  King2 JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Alitaga siyo.
   
 8. m

  maselef JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mmmmmhh
   
 9. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  ukijifanya wewe ni mjanja wa mipasho yani we ujue unaandaliwa software itakayokushushia hivyo vi-mawan vyako.
   
 10. pinochet

  pinochet JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 345
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Huyu jama CO, alipata kweli div 0 form 6 old moshi na vile vile mh Aden Rage aka alshabab alifeli middle skul akaungaunga ndo akatoka,so wengi wao elimu zao ni bure tu bandugu.
   
 11. n

  nyelesa Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Upande wa ole Sendeka,kwa ni mbumbumbu wa masula ya katiba,pengine si kosa kuropoka ili asikike kwa Wamasai au kwa Rais.Hapa ameonesha kutojua Katiba ni nini pale anaposema ‘ mamlaka ya Rais yasiingiliwe’.Kwanza Ole Sendeka anafahamu rais anapatika vipi?Hapa anahitaji elimu ya uraia ambayo yeye ni sifuri kabisa.Rais ni nani yeye asiingiliwe?Nani mwajiri wake?Kimsingi Rais haingiliwi na mtu isipokuwa madaraka yake lazima yawe na kikomo.Hapa ndipo tutakapo sema Rais anatekeleza demokrasia ya kweli,kwa kuwa yeye pia hayuko juu ya sheria,na kwamba endapo ataenda kinyume ya matakwa ya umma,ajue kuwa atawajibika kwa makosa yake mahakamani.Mifano hai ipo Zambia,Malawi,Ukraine nk
  Kuhusu kumshamulia Tundu Lissu,hapa pia ameonyesha udhaifu ulio wazi.Lisssu ni mwanasheria na mwanaharakati.Sijui ole Sendeka anapata wapi ujasiri wa kuhoji elimu ya Lissu?Ila kuna msemo usemao ‘Nyani haoni kundule’Anayepaswa kurejea darasani ni Ole Sendeka kwani ushahidi upo kuwa elimu yake pale Old Moshi inatia shaka.Lakini pia utendaji wake katika wahanga wa maporoko ya migodi pale Mererani ambapo yeye alikuwa mwenyekiti wa maafa.Hakuna ubishi kuwa alijinufaisha mwenyewe kupitia misaada ya wahanga hao.Uadilifu wake uko wapi?Shule yake iko wapi?
   
 12. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Na makelele yote yale kumbe alikua anasindikiza wenzake pale Old Moshi?, duh!
   
 13. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Debe tupu huwa haliachi kuvuma.
   
 14. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli alipata 0 ZERO kwani alisoma na kaka yangu.
   
 15. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mungu amrehemu apate pumziko la milele huyu mmasai. kumbe ndo maana EL huwa anam neglect ?
   
 16. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Adui yako ukitaka kumuua usimwangalie usoni, EL anamfahamu hvy anamgeuza anavyotaka.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Yaleyale ya KIB0NDE,
  jaman zama hzi uktaka kuongea ujua cha kuongea,la cvyo vjana watakuvua nguo hapa,
   
 18. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapa mbona wako wengi sana,kuna kubenea huyu ni standard seven kabisa,mbunge wa mbeya mjini mr 2 a.k.a.sugu,mbunge wa kinondoni Iddi azan n.k.
   
 19. K

  Kigoma 2015 JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ukipenda ugomvi bs hakikisha nyumba yako isiwe ya vioo.
   
 20. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,644
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  jamani ya kweli haya?
   
Loading...