Halima na wenzake lazima watoboe. Msijidanganye kama watoto. Ukweli utajulikana nani alipeleka barua NEC

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Mnajipa moyo kama watoto. Mnataka kusema akina Halima walifoji barua ya kujiteua?
🤓🤓🤓
👇

20220627_034737.jpg
 
..hakuna barua iliyokwenda Nec.

..halima na wenzake waliapishwa kwa maagizo ya mamlaka fulani.

..Nec walikuja kusikia kuna wabunge wa Cdm kama ambavyo sote tulisikia.
Mkuu JokaKuu, hoja yako it's not true!.
  1. Majina ya viti maalum kutoka vyama vyote hupekwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi, hivyo Chadema walipeleka majina NEC likiwamo jina la Nusrat
  2. Baada ya matokeo na Chadema kushindwa vibaya kwa kupoteza majimbo yote isipokuwa moja tuu jipya, Chadema ilitangaza haiyatambui matokeo na badala ya kuuita uchaguzi mkuu ikauita uchafuzi mkuu!.
  3. Tena Chadema wakamkataza hata Mbunge wake mmoja wa ngama wa jimbo asiropoti kwa hoja kuwa hawayatambui matokeo.
  4. Mgao wa viti maalum ulipotoka na Chadema kupata viti 19, Chadema kama chama, kilitangaza kutoteua wabunge wa viti maalum.
  5. Ndipo Mwenyekiti wa Bawacha Halima Mdee, akaanza na internal consultations, lobbying and advocacy akakubaliwa.
  6. Uteuzi wa majina ya nafasi 19 ukafanywa, fomu zikajazwa na kupigwa sahihi na mihuri authentic bonafide genuine kabisa ikaenda NEC.
  7. NEC wakafanya uteuzi na kuwapeleka bungeni Kwa uteuzi halali with authentic credentials bonafide genuine certificates za uteuzi za NEC
  8. Bunge likawapokea na kuwaapisha sasa ni Wabunge halali kabisa wa Bunge la JMT
  9. Ndipo Chadema huku wakaliamsha nani kawatea?. Bila hata kufanya any due process kuuthibisha forgery, wakaitisha Ile Kangaroo Yao, wakawatimua!.
  10. Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
P
 
Swali rahisi ni hili:
Hivi ukiwa mwajili wa mtu( cdm vC19) na ukafanya maamuzi ya kumpa mtu ajira, ina maana kwamba huwezi tengua maamuzi yako ( kwa kufuata due process ya aina yeyote ile) au ukisha teua umetea tu na ajira ni ya kudumu hadi milele?

CDM walisha tangazia dunia kwamba wao hawajateua mtu na uchaguzi huo ulikuwa ni uchafuzi - sasa kwa nini walazimishwe kusema kwamba wanautambua huo uchaguzi kwa kukubali kwamba c.19 ni halari? Paskali pitia lile somo la doctrine of legitimate expectation and principle of estoppel na mauza uza yake halafu utete hao c19.

Huwezi kumlazimisha mtu apingane na maoni yake au kauli zake za huko nyuma na huo ndio msimamo wao...
Kuendelea kuwakumbatia c19 maana yake unawalazimisha cdm watengue kauli yao kwamba uchaguzi Ule na matikeo yake wanaukubali jambo ambalo ndio lingeweza kumaliza mgogoro huo...
Hata hao c19 wakiulizwa, je uchaguzi ule na matokeo yake waliukubari? Jibu likiwa hapana basi hata hiyo kesi ni magumashi tu.
Huwezi sema kiti Moto ni halamu lakini mchuzi wake ni mtamu- haiwezekani...
 
Hongera sana kwa upembuzi, ingawa utawaudhi baadhi ya watu. Hapa yatakiwa uwe na ngozi ngumu
 
..hakuna barua iliyokwenda Nec.

..halima na wenzake waliapishwa kwa maagizo ya mamlaka fulani.

..Nec walikuja kusikia kuna wabunge wa Cdm kama ambavyo sote tulisikia.
Naomba chondechonde msijitungie maneno yenu..mtaadhibiwa na Sheria ya mtandao
 
Mkuu JokaKuu, hoja yako it's not true!.
  1. Majina ya viti maalum kutoka vyama vyote hupekwa NEC 30 days kabla ya uchaguzi kusubiria mgawo wa nafasi, hivyo Chadema walipeleka majina NEC likiwamo jina la Nusrat
  2. Baada ya matokeo na Chadema kushindwa vibaya kwa kupoteza majimbo yote isipokuwa moja tuu jipya, Chadema ilitangaza haiyatambui matokeo na badala ya kuuita uchaguzi mkuu ikauita uchafuzi mkuu!.
  3. Tena Chadema wakamkataza hata Mbunge wake mmoja wa ngama wa jimbo asiropoti kwa hoja kuwa hawayatambui matokeo.
  4. Mgao wa viti maalum ulipotoka na Chadema kupata viti 19, Chadema kama chama, kilitangaza kutoteua wabunge wa viti maalum.
  5. Ndipo Mwenyekiti wa Bawacha Halima Mdee, akaanza na internal consultations, lobbying and advocacy akakubaliwa.
  6. Uteuzi wa majina ya nafasi 19 ukafanywa, fomu zikajazwa na kupigwa sahihi na mihuri authentic bonafide genuine kabisa ikaenda NEC.
  7. NEC wakafanya uteuzi na kuwapeleka bungeni Kwa uteuzi halali with authentic credentials bonafide genuine certificates za uteuzi za NEC
  8. Bunge likawapokea na kuwaapisha sasa ni Wabunge halali kabisa wa Bunge la JMT
  9. Ndipo Chadema huku wakaliamsha nani kawatea?. Bila hata kufanya any due process kuuthibisha forgery, wakaitisha Ile Kangaroo Yao, wakawatimua!.
  10. Barua bonafide genuine ya Chadema ipo, uteuzi bonafide genuine wa NEC upo, mpaka sasa ni Wabunge wa Bunge la JMT.
P
Hehehehe P..mbona haya maneno wenyewe hawayaelezi watu tukajua ukweli..why wanasubiri kuelezea wapi..waeleze umma ili basi wengine tuendelee kuwa support kwa uhuni unaofanywa na chama Chao kama ni kweli..Come out and disclose what went on..
 
Swali rahisi ni hili:
Hivi ukiwa mwajili wa mtu( cdm vC19) na ukafanya maamuzi ya kumpa mtu ajira, ina maana kwamba huwezi tengua maamuzi yako ( kwa kufuata due process ya aina yeyote ile) au ukisha teua umetea tu na ajira ni ya kudumu hadi milele?

CDM walisha tangazia dunia kwamba wao hawajateua mtu na uchaguzi huo ulikuwa ni uchafuzi - sasa kwa nini walazimishwe kusema kwamba wanautambua huo uchaguzi kwa kukubali kwamba c.19 ni halari? Paskali pitia lile somo la doctrine of legitimate expectation and principle of estoppel na mauza uza yake halafu utete hao c19.

Huwezi kumlazimisha mtu apingane na maoni yake au kauli zake za huko nyuma na huo ndio msimamo wao...
Kuendelea kuwakumbatia c19 maana yake unawalazimisha cdm watengue kauli yao kwamba uchaguzi Ule na matikeo yake wanaukubali jambo ambalo ndio lingeweza kumaliza mgogoro huo...
Hata hao c19 wakiulizwa, je uchaguzi ule na matokeo yake waliukubari? Jibu likiwa hapana basi hata hiyo kesi ni magumashi tu.
Huwezi sema kiti Moto ni halamu lakini mchuzi wake ni mtamu- haiwezekani...
Jomba sawa maelezo yako..Ila suala la msingi ni kwamba covid19, walishang'amua janja ya viongozi wao kuwa wanataka wawateme ili waweke vimadaaa wao....na walisema..na ushahidi wanao..Sasa jomba kama msingi ni huu wacha wakomae..lakini kama wanataka kuendelea na msimamo wao uchaguz ulikuwa ni mchafu Basi waendelee..lakini suala la kujiuliza, je.! Wakiwapiga chini Hawa hawatachagua wengine kwa maana ya uchaguz ulikuwa mchafu au watachagua wengine..na je..ni kwanini wachaguliwe wengine...wakati Hawa pia waliwachagua wenyewe..tujiulize hapo...ni swali fikilishi
 
Back
Top Bottom