Kama CHADEMA hawakuwapitisha Mdee na wenzake kwanini hawafungulii kesi ya kugushi?

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,920
31,161
Heshima sana wanajamvi,

Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.

Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.

Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa lakini hapo hapo walikuwa na nafasi ya kufanya marekebisho na kesi kuanza upya. Hawakuona walikuwa wanatoa nafasi ya kesi kuchukua muda mrefu zaidi ?.

Nadhani kuna shida hapa lakini hatuambiwi ukweli.

Ngongo kwasasa Kigali.
 
Kesi ya kughushi ni jinai inafunguliwa na Jamhuri.
 
Nadhani kuna shida Mahala na kuna uwezekano Mwenye Chama Mbowe alikuwa anaelewa nini kinaendelea ,kiukweli kosa la kugushi lilitosha kabisa kudhibitisha kwa hawa mamluki wapo pale bungeni sio kihalali

Siku ile ya kuapishwa Halima aliposema anamshukuru Mwenyekiti kwa kuwaruhusu kwenda bungeni, nilijua Mbowe ana mkono wake pale.
 
Heshima sana wanajamvi,

Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.

Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.

Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa lakini hapo hapo walikuwa na nafasi ya kufanya marekebisho na kesi kuanza upya. Hawakuona walikuwa wanatoa nafasi ya kesi kuchukua muda mrefu zaidi ?.

Nadhani kuna shida hapa lakini hatuambiwi ukweli.

Ngongo kwasasa Kigali.

Application imepelekwa na kina Mdee ulitaka akina kibatala wakae kimya bila kuijibu application. Akina Kibatala wanatumia style ya tapeli mpe kamba yake ajinyonge.
 
Kwanini NEC nao hawajatoa uthibitisho wa barua kutoka CDM kuwa iliwateua hao 19?
CDM ilijuaje kuwa Nusrat Hanje ataachiwa gerezani usiku,siku Moja kabla ya kuapishwa hadi wakamteua kwenye hao 19?
Kuna foul play na Iko so obvious!

Wewe nae maswali yako mepesiii,Sasa kwanini Ccm wamteue Nusrat Hanje na yuko gerezani hakukuwa na wengine wenye akili kwenye hicho Chama?
 
Kuna mahali au tuseme hatua za kuchukua ambazo chama kilitakiwa kuzifuata ikiwemo kutoa taarifa kwa taasisi husika eg Polisi,Tume ya uchaguzi na nk.

Ninachokiona ni chama kushanbuliwa na wakosaji badala ya wakosaji kushambuliwa na chama.

Hujamsikia katibu mkuu wa Chadema akisema wamepeleka hilo suala kwenye jeshi la Polisi.
 
Heshima sana wanajamvi,

Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.

Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.

Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa lakini hapo hapo walikuwa na nafasi ya kufanya marekebisho na kesi kuanza upya. Hawakuona walikuwa wanatoa nafasi ya kesi kuchukua muda mrefu zaidi ?.

Nadhani kuna shida hapa lakini hatuambiwi ukweli.

Ngongo kwasasa Kigali.
tatizo nec wameficha hiyo barua wanayosema walipelekewa na chadema ili iwe kama kizibiti
NEC ndio wahuni wangekuwa wakweli mara baada ya chadema kulalamika kwamba hawajateua hao covid wangeweka hadharani hiyo barua ya chadema . Au wangefanya duedeligence hiyo barua wanayoisema kama ni ya kweli
Na kwa taarifa yako hakuna barua yeyote iiyoandikwa kwenda NEC kuwapendekeza hao covid.
Huu uhuni uifanywa na mwendazake, x spika na kina mdee wenyewe.
Yaani NEC wanasema wameletewa barua , walioleta wanasema hawakuandika barua yeyote wao NEC wapo kimya tu
 
Heshima sana wanajamvi,

Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.

Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.

Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa lakini hapo hapo walikuwa na nafasi ya kufanya marekebisho na kesi kuanza upya. Hawakuona walikuwa wanatoa nafasi ya kesi kuchukua muda mrefu zaidi ?.

Nadhani kuna shida hapa lakini hatuambiwi ukweli.

Ngongo kwasasa Kigali.
Utasemaje walighushi bila kuona barua zilizowasilishwa NEC na Bunge? Kama kuna kughushi hizo taasisi ndio zinazopaswa kuchukua hatua, sio lazima Chadema.
Mambo ya sheria tuwaachie wana sheria. Ni beyond uelewa wako na wangu.

Amandla...
 
Wewe nae maswali yako mepesiii,Sasa kwanini Ccm wamteue Nusrat Hanje na yuko gerezani hakukuwa na wengine wenye akili kwenye hicho Chama?
Sasa kama waliona wengine Wana misimamo,wakaona waende wakamtoe mtu gerezani usiku wa manane na kumsafirisha usiku Huo huo mpaka Dodoma na asubuhi akaapishwa!
Unahisi kwanini zoezi la kuapishwa lilifanywa Siri,yaani Hadi waandishi hawakujua wanaitiwa Nini na Spika mpaka wanafika kwenye viunga vya Bunge!
Toka lini jambo kama hilo likawa Siri?Hii Inamaana ni mchongo ulitengenezwa!
Acha uzembe,unganisha dots!
 
Heshima sana wanajamvi,

Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.

Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi !.

Ikiwa Wakili Msomi Kibatala na wenzake walijua kama mapingamizi yao yangesababisha kesi ya Mdee kutupwa lakini hapo hapo walikuwa na nafasi ya kufanya marekebisho na kesi kuanza upya. Hawakuona walikuwa wanatoa nafasi ya kesi kuchukua muda mrefu zaidi ?.

Nadhani kuna shida hapa lakini hatuambiwi ukweli.

Ngongo kwasasa Kigali.
Mkuu km huna cha kuandika kaa kimya
 
Dj ametulia mahali tuliiiiiii na bakuli la asali anawachora tu makamanda wanavyo vimba.

Dj anajua mchongo ndio maana anapoza poza pressure kiakili sana.
 
Hujamsikia katibu mkuu wa Chadema akisema wamepeleka hilo suala kwenye jeshi la Polisi.

Sijasikia zaidi ya Katibu Mkuu kushangilia ushindi wa masaa machache.

Kama utaniwekea andiko nitashukuru.
 
Back
Top Bottom