Serikali ya Rais Samia imefilisika?

Serikali ya Rais Samia imefilisika?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,517
Reaction score
11,388
Hope mko poa

Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.

Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa miundombinu Kama zamani, serikali inadaiwa Sana na wakandarasi, wanaojenga na walioijenga barabara. Huwezi amini until now SGR Dar-moro bado imedoda, Dar-makutupora Dodoma ujenzi unasuasua, bwawa la umeme ndo kabisa hakuna updates yeyote.

Kwenye ajira, serikali ilitangaza kwa mbwembwe kuajiri walimu na watahalamu wa kada ya afya. Tuna watoto wetu na watoto wa ndugu zetu wamesomea izo kozi.

Serikali ya SSH katika walimu 120000+ imeajiri walimu9800. Na sahivi hawataki kabisa kuajiri watu wa shahada, wanajaza walimu wa Certificates na Diploma.yaani dunia ya Leo marekani, Kenya, UK, Nigeria mtoto wa Chekechea anafundishwa na mtu mwenye masters, lakini Tanzania kidato Cha nne anafundishwa na mtu wa Diploma (aliyeferi form six)

Ni dhahiri serikali haina hela ya kuajiri, haina hela ya kuajiri walimu wa Degree, sahivi vijana wanahali mbaya Sana, ajira hamna, bihashara zao haziendi, TRA wanawakaba mwanzo mwisho, wakiamua kuwa bodaboda, Petroli imepanda Bei.

Kwenye kada ya afya wamegoma kuchukua wauguzi wenye diploma na degree,wamechukua wenye certificates. Hadi wenye certificates walioomba wameisha na nafasi zimebaki wazi,eti wanatangaza upya, hivi Ni dhambi mgonjwa kuhudumiwa na mtu mwenye degree ya Nursing??
Sahivi vijana wengi wanasema Degree ni Useless maana serikali haitaki kuwaajiri

Kwa Sasa serikali ya SSH, imefulia Sana, ndo maana wanakopa mikopo kujenga madarasa.

Angalia hii watoto wa watanzania 120000+ wanaomba kazi serikali inachuku 9800, Tena 70% Ni certificate na Diploma ili iwe rahisi kuwalipa

FB_IMG_16563121509363845.jpg
 
Mleta mada bajeti bado haijapitishwa subiri ipitishwe na kusainiwa utaona pilika
 
View attachment 2274041
Kwani kuna serikali ya Samia suluhu Hassan? au Kuna serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania?🤔
 
Kwa hiyo kutokuwepo kwa maigizo unayoita hela heka ndio kufilisika sio? 😂😂😂😂..

Uliza wakandarasi au tembelea site.. Serikali ya Jiwe ndio ilifilisika ila sio Serikali ambayo watalii na wawekezaji wanamiminika kama hii👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220624-152254.png
    Screenshot_20220624-152254.png
    237.7 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220622-215015.png
    Screenshot_20220622-215015.png
    131 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220622-214711.png
    Screenshot_20220622-214711.png
    184 KB · Views: 7
Unaonekana una ndugu amekosa nafasi maana topic sentence yako hapo ni ajira, usijali kama amekosa leo next time atapata tuu.
 
Kwa hiyo kutokuwepo kwa maigizo unayoita hela heka ndio kufilisika sio? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..

Uliza wakandarasi au tembelea site.. Serikali ya Jiwe ndio ilifilisika ila sio Serikali ambayo watalii na wawekezaji wanamiminika kama hii[emoji116]
Amesema ujenzi mwingi umesimama cio utalii wee jamaa
 
Hope mko poa

Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.

Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa miundombinu Kama zamani, serikali inadaiwa Sana na wakandarasi, wanaojenga na walioijenga barabara. Huwezi amini until now SGR Dar-moro bado imedoda, Dar-makutupora Dodoma ujenzi unasuasua, bwawa la umeme ndo kabisa hakuna updates yeyote.

Kwenye ajira, serikali ilitangaza kwa mbwembwe kuajiri walimu na watahalamu wa kada ya afya. Tuna watoto wetu na watoto wa ndugu zetu wamesomea izo kozi.

Serikali ya SSH katika walimu 120000+ imeajiri walimu9800. Na sahivi hawataki kabisa kuajiri watu wa shahada, wanajaza walimu wa Certificates na Diploma.yaani dunia ya Leo marekani, Kenya, UK, Nigeria mtoto wa Chekechea anafundishwa na mtu mwenye masters, lakini Tanzania kidato Cha nne anafundishwa na mtu wa Diploma (aliyeferi form six)

Ni dhahiri serikali haina hela ya kuajiri, haina hela ya kuajiri walimu wa Degree, sahivi vijana wanahali mbaya Sana, ajira hamna, bihashara zao haziendi, TRA wanawakaba mwanzo mwisho, wakiamua kuwa bodaboda, Petroli imepanda Bei.

Kwenye kada ya afya wamegoma kuchukua wauguzi wenye diploma na degree,wamechukua wenye certificates. Hadi wenye certificates walioomba wameisha na nafasi zimebaki wazi,eti wanatangaza upya, hivi Ni dhambi mgonjwa kuhudumiwa na mtu mwenye degree ya Nursing??
Sahivi vijana wengi wanasema Degree ni Useless maana serikali haitaki kuwaajiri

Kwa Sasa serikali ya SSH, imefulia Sana, ndo maana wanakopa mikopo kujenga madarasa.

Angalia hii watoto wa watanzania 120000+ wanaomba kazi serikali inachuku 9800, Tena 70% Ni certificate na Diploma ili iwe rahisi kuwalipa

View attachment 2274041
Magufuli na genge lake pia walicontribute Sana kuinstill hii mentality ya ucheap labour , Kwanza alikuwa aajiri na akiajiri ni wachache tena embarrassingly certificates , yaani li nchi linaendekeza mediocrity na inferiorism .Ni mambo ya ovyo Sana hii nchi .
Ukienda kwenye law enforcement na defence kama Police ,Magereza ,Takukuru ,JwTZ nalo ni hivyo hivyo , umediocrity uko embraced with full support , yaani imefikia level nchi hii ukiwa na elimu wewe ni outlaw, kupata ajira ni kama unabeti
 
Ili ujenzi usimame lazima kusiwe na pesa,sasa ametaja ujenzi upi huo uliosimama?
Bajeti mpya inaanza July mosi
Ni suala dogo la muda kidogo tu hapo.hakuna ukweli sana wakandarasi wanaojua mfumo wa bajeti ya Serikali unavyofanya kazi wako kazini kama kawaida
 
Sukuma gang bado tu amjaamka kwenye coma? bado amtaki kuhamini kuwa jamaa yenu ameshazikwa[emoji16][emoji16] nchi ilikuwa inaelekea pabaya hii, lakini ona sasa ivi watu furaha na amàni zimerudi...bado sana tunae samia mpaka 2030
 
nafikiri lengo la ujumbe wako ni kuhusu ajira za jana, ilo la barabara umechomekea tu

kiukweli kuajiri mtu wa 2021 ukamuacha wa 2015 ni us*nge wa hali ya juu
 
Bajeti mpya inaanza July mosi
Ni suala dogo la muda kidogo tu hapo.hakuna ukweli sana wakandarasi wanaojua mfumo wa bajeti ya Serikali unavyofanya kazi wako kazini kama kawaida
Wewe wakandarasi wa miradi mikubwa hawasubilii mambo ya bajeti bali wanaendelea na Kazi..

Wanaosubilia bajeti ni Hawa wa miezi 6 nk ila Mkandarasi mwenye contract ya zaidi ya mwaka anahitaji pesa sio bajeti..

Ndio maana nauliza Mkandarasi yupi amesimamia ujenzi?
 
Sijasema wamesimama wa muda mrefu hata hao wa miezi sita wanatakiwa kujua budget circle ya Serikali
 
Hope mko poa

Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.

Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa miundombinu Kama zamani, serikali inadaiwa Sana na wakandarasi, wanaojenga na walioijenga barabara. Huwezi amini until now SGR Dar-moro bado imedoda, Dar-makutupora Dodoma ujenzi unasuasua, bwawa la umeme ndo kabisa hakuna updates yeyote.

Kwenye ajira, serikali ilitangaza kwa mbwembwe kuajiri walimu na watahalamu wa kada ya afya. Tuna watoto wetu na watoto wa ndugu zetu wamesomea izo kozi.

Serikali ya SSH katika walimu 120000+ imeajiri walimu9800. Na sahivi hawataki kabisa kuajiri watu wa shahada, wanajaza walimu wa Certificates na Diploma.yaani dunia ya Leo marekani, Kenya, UK, Nigeria mtoto wa Chekechea anafundishwa na mtu mwenye masters, lakini Tanzania kidato Cha nne anafundishwa na mtu wa Diploma (aliyeferi form six)

Ni dhahiri serikali haina hela ya kuajiri, haina hela ya kuajiri walimu wa Degree, sahivi vijana wanahali mbaya Sana, ajira hamna, bihashara zao haziendi, TRA wanawakaba mwanzo mwisho, wakiamua kuwa bodaboda, Petroli imepanda Bei.

Kwenye kada ya afya wamegoma kuchukua wauguzi wenye diploma na degree,wamechukua wenye certificates. Hadi wenye certificates walioomba wameisha na nafasi zimebaki wazi,eti wanatangaza upya, hivi Ni dhambi mgonjwa kuhudumiwa na mtu mwenye degree ya Nursing??
Sahivi vijana wengi wanasema Degree ni Useless maana serikali haitaki kuwaajiri

Kwa Sasa serikali ya SSH, imefulia Sana, ndo maana wanakopa mikopo kujenga madarasa.

Angalia hii watoto wa watanzania 120000+ wanaomba kazi serikali inachuku 9800, Tena 70% Ni certificate na Diploma ili iwe rahisi kuwalipa

View attachment 2274041
Daah..walimu graduates mnashida gani..mbona ni watu wa kulialia sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom