Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,047
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan

Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi

Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania

---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.

"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.

Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Ndo

Ndo watajua sasa kuwa kuna Wamasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania! Hatutaki upuuzi saivi kwenye maendeleo yetu
 
makakalaa.jpg
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.

"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.

Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
wanalisha popote? How kwanini wasilishe kwao kwanini walete Ng'ombe Tanzania unawajua wakenya vizuri ingekua kundi la Ng;ombe linatoka Tanzania linaenda kwao unadhani wangekubali
 
Back
Top Bottom