Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu mwamba ni Jemedari na Mzalendo namba moja anaumwa na maendeleo ya kielimu ya Nchi hii na anaechukia ubabaishaji na shortcuts. NECTA aliyoipokea Dr Msonde toka Kwa mtangulizi wake Pro...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Akihojiwa na mwandishi wa BBC kuhusu mchakato wa katiba mpya, mtaalamu huyo wa Sheria ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, kupitia ACT Wazalendo amesema kwenye utawala uliopita wa...
27 Reactions
100 Replies
6K Views
Club ya Chelsea ilipofanya vibaya viongozi wake waliwajibishwa ,pia Arsenal viongozi wake waliwajibishwa na sasa hizo timu zinafanya vizuri baada ya kuingia uongozi mpya. Uongozi ni dhamana na...
8 Reactions
124 Replies
11K Views
Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is...
3 Reactions
8 Replies
982 Views
===== Tayari Rais Samia yupo ndani ya jengo la huduma ya afya ya mama na mtoto akiwasalimia wazazi pamoja na watoto wao (akina mama 88) ambao wapo katika wodi za kupumzikia wakiwa wamejifungua...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...
9 Reactions
112 Replies
8K Views
Wana JF, majuzi kabla ya Spika hajaaihirisha bunge ziliundwa kamati mbili, mojawapo ni kupitia upya mikataba mibovu ya gas. Ninakumbuka mikataba hii mibovu na ya kipuuzi ilipitishwa kwa hati ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
*If Magufuli says that after visiting toilet, everyone must wash hands with soap........* *What would the opposition leaders say?* [emoji848] *Zito-* Magufuli has taken money from the soap...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
Salamu wanabodi wote. Mimi kama mfuasi kindakindaki wa chadema nimekaa na kutafakari sana juu ya utendaji wa Rais Magufuli na serikali yake. Kwa muda sasa nimekuwa nikipinga kila kitu...
39 Reactions
221 Replies
22K Views
Waziri Ummy Mwalimu (kulia) akiwa na mama wa watoto pacha waliotenganishwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto pacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa na kusema...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Yanaweza kuwa ni maneno mageni miongoni mwetu hasa kwakuwa hayatumiki mara kwa mara au kwakuwa istilahi zake zinatumia maneno mengine Wakushi ni aina ya watu au kabila ambao kiasili ni watumiaji...
48 Reactions
123 Replies
22K Views
Wakili wa Sabaya amesema kitendo cha mteja wake kutolewa kwenye gereza la Kisongo Arusha na kupelekwa kwenye gereza la Moshi ni ubatili mtupu kwani taratibu na sheria za nchi haziruhusu hali hiyo...
5 Reactions
134 Replies
11K Views
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha imezuia kwa muda matangazo yote ya michezo ya kubahatisha katika redio na runinga. Bodi hiyo imesema matangazo hayo yamekuwa mengi kiasi cha kuharibu taswira ya...
19 Reactions
232 Replies
34K Views
Iwapo kesi hii haitoingiliwa, na Mahakama ikawa huru, huku hukumu ikiwa ni Mdee na Wenzake hawakuwa wabunge halali. Je, Mdee na Wenzake, hawawezi kutakiwa na Mahakama kurudisha fedha za ubunge...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19. Leo 20:15hrs 06/07/2022 Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewakaribisha Watanzania, kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018, ili ziwe rafiki kwa matumizi. Wito huo umetolewa...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
TCRA YAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA UTOAJI WA LESENI MTANDAONI. Leo 31 Julai,2021. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya uzinduzi wa Mfumo ulioboreshwa wa Utoaji wa Leseni kwa njia ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000. 2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa...
17 Reactions
98 Replies
6K Views
Ndugu zangu, Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems...
6 Reactions
8 Replies
833 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…