Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,315
- 8,214
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
Mbona suala hili linafanyika na lina utaratibu wake....sijui anamaanisha nini Mheshimiwa.Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa ameviagiza vyuo vikuu vyote nchini, kufanya mapitio ya mitaala yao, ili iweze kuendana na mahitaji halisi ya sasa ya soko la ajira.
View attachment 2296994
Kama zipiKuna kozi kibao zatakiwa zifutwe
TCU wanatuangalia tu
Hakuna mitaala iliyobadilishwa Tanzania. Kozi ni zilezile.Mbona suala hili linafanyika na lina utaratibu wake....sijui anamaanisha nini Mheshimiwa.
Kama zipi
Kwa hiyo unamaanisha kuna kozi zifutwe au sio?..Hakuna mitaala iliyobadilishwa Tanzania. Kozi ni zilezile.
Kozi zipo nyingi, zile ambazo hazitoi ajira hata moja au rate yake ya kutoa ajira ni ndogo ndizo zinatakiwa kufutwa kabisa. Mimi ndivyo ninavyoelewa katika hili.Kwa hiyo unamaanisha kuna kozi zifutwe au sio?..
Naomba mifano mitatu ya hizo kozi...
Bachelor of science in biology,Bachelor of husband care,bachelor of science general udsm,bachelor of zoology,bachelor of botany,bachelor of linguistics,bachelor of archaeology, bachelor of historyKwa hiyo unamaanisha kuna kozi zifutwe au sio?..
Naomba mifano mitatu ya hizo kozi...
Mfumo wa elimu tulionao ni mbovu ndio maana kenya kwa sasa wako busy kujenga technical schools, watoto na vijana wetu husoma vitu ambavyo vingi hawavitumii kabisa kwenye maisha ya leo.
Kwa mfano majimaji war unaitumia wapi toka umeisoma si afadhali ungefundishwa programming na ukaspecialise huko leo hii tungekua na watu nguli kwenye technology, trust me kila semister inavopita ndio mtu husahau aliyosoma semister iliyopita maana kwanza anasoma kufanya mitihani tunaamini mtu kasoma miezi sita unampa mtihani aufanye kwa masaa kadhaa kitu alichosoma miezi sita,
Bachelor of science in biology,Bachelor of husband care,bachelor of science general udsm,bachelor of zoology,bachelor of botany,bachelor of linguistics,bachelor of archaeology, bachelor of history