Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,318
Kipindi cha utawala wa marehemu Magufuli watu walikuwa waoga wa kupitiliza.
Wengi walishindwa kujieleza hata kama walikuwa na point za maana.
Wengine wateuliwa walishindwa hata kuapa mbele ya Magufuli kisa kumuogopa.
Ila huyu mama alikuwa jasili akaweza kuanika uovu wa wateule wa mtawala chini ya ccm bila kuacha kisa kuogopa.
Hakika siyo kila mwanamke ni muoga.