Mawaziri wawili wako ukumbi wa mikutano wa hazina, Dar es Salaam kubwa likiwa hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa. Yupo waziri wa uwekezaji, Dkt. Asha Kijaji na waziri wa fedha, Mwigulu...
Jaws ACT wazalendo Uwaziri kivuli ni kama wameuvamia tu yaani hakuna wanachofanya.
Hebu tujikumbushe Mawaziri wa Chadema:
Mchungaji Msigwa..........Utalii
Ezekiel Wenje....... Foreign...
Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye...
Ni kawaida watu wakileta hoja hapa dhidi ya serikali mijadala huingiliwa na watu kwa kuibinafsisha ama kwa BAVICHA ama kwa dini mojawapo kubwa.
Kwa hiyo ni kumaanisha kuwa wananchi wamewagawa...
Mwalimu Ester Shayo
Moshi
22.07.2022
Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023...
Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia
Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi...
Huu Uzi ningependa usomwe kwa umakini, na tuweke siasa za mihemuko pembeni.
Ni dhahiri CCM watamsimamisha SSH Kama Mgombea wao wa uraisi,lakini ukweli lazima usemwe sioni Samia akitoboa kwenye...
Enzi za yule Dr Slaa muda huh Chadema ingekufa imeshaingilia Kati hii sintofahamu ya hawa watumishi au wafanyakazi
Ila Chadema ya leo ni kipofu na kiziwi kabisa
Yupo wapi yule J J Mnyika original?
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha..
Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa...
Kiukweli watumishi matumaini yameyeyuka Kama umande,ndugu watumishi msife moyo badilisheni tu malengo ili kuendana na Hali mliyoikuta kwenye mishahara,najua wengi nimewasikia mtaani kabla ya...
Nikiwa muumini wa Magufulification of Africa, watajwa hapo juu siwaamini kabisa, yaani nahisi kuwa hawapaswi kupewa wadhifa wowote kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa.
Kuna jambo nahisi...
Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri
Rais Samia amejizolea umaarufu kuwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi...
Msikilizeni mwenyekiti wa ccm alivyokuwa analazimisha wananchi kumchagua mbunge wa kawe.
Jambo hili bado linalalamikiwa sana kwa kutuletea kuongozi aliye chaguliwa na mwenyekiti na siyo maamuzi...
*📸DKT. SAMIZI ATOA UFAFANUZI JIMBONI KUHUSU MWANAUME MWENYE MKE ZAIDI YA MMOJA NA NAMNA ATAKAVYOHESABIWA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi akitoa elimu...
Mheshimiwa Waziri Mkuu tunakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe Waziri Mkuu kuna Ufisadi wa Kutisha katika Miradi ya Maji inayosimamiwa na Mamlaka ya Maji Arusha ( AUWSA)...
Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa...
Nawasalimu kwa jina la JMT,Kazi inaendelea na SSH anaupiga Mwingi.
Spika wa Bunge la JMT kwa niaba ya Wabunge amempongeza mh.Rais SH Hassan,Rais wa JMT na amiri Jeshi Mkuu kwa kutekeleza kwa...
Nimepiga Hesabu ndogo ya FEDHA wanazolipwa Wale WABUNGE 19 waliofukuzwa CHADEMA kwa Miaka 5 tu ni karibu Tsh. 16 ,745 ,123, 000/= Japo Sio nyingi lakini Zingesaidia kulipa hata Watumishi 100 hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.