Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema mtu mmoja amekamatwa nchini Poland akiwa na kobe zaidi ya 100 wakitokea nchini Tanzania bila ya kuwa na vibali vya usafirishaji wa wanayama...
Mnafurahi kuona jamii ikiteseka huku mkifanya makongamano na kugonga cheers kwa fedha za umma muradi mingi inaenda kama kinyonga hakuna kinachoendelea mnachofanya baadhi yenu ni kutangaza biashara...
Jeshi hili lipo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia
neno usalama wa Raia ndipo chimbuko la mabadiliko ninayoyaona mbeleni mwakahuu. Jeshi hili halijawahi kuwa karibu na Raia hata...
RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA.
Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi.
Salamu za Mhe...
Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu?
Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala...
Kumbe kuna kundi kubwa la wanasiasa hapa Tanzania wana kinyongo na hayati JPM sababu alisimama kidete kulinda pesa za umma na kuwafanyia makubwa watanzania kwa kipindi kifupi akiwa rais wa JMT...
Magufuli alipokaa miaka 6 (mwaka 2018/19 walimu waliongezewa kiasi kisichozidi elfu 10 kila mwalimu) bila nyongeza ya mishahara kwa watumishi wengine watu walimlalamikia sana.
Kwa tunaojua na...
Tangu mshahara wa mwezi July -2022 utoke pamekuwepo na jitihada na nguvu kubwa sana inatumika mitandaoni kuwaponda na kuwakejeli watumishi wa umma hasa walimu na manesi.Wengine wamekuwa wakienda...
Tulikuzoea tuu kuwa unatuambiga tuu ukweli licha kwamba ulikuwa unatuumizaga sana ukweli huo
Ulisemaga mengi, naomba nikunukuu maneno machache hapa
"Mfanyakazi anayeona mshahara hautoshi, aache...
Kama mnakumbuka serikali ilitoa waraka wa nyongeza ya posho za safari nje ya ofisi (perdiem) ikiongeza kutoka laki moja mpaka 150,000.
Katika mwendelezo ule ule kwenye mishahara, serikali...
KATIBU WA AMCOS WILAYANI MASWA KORTINI KWA UHUJUMU UCHUMI.
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) imemfikisha Katibu Wa Chama Cha Msingi cha Ushirika (Amcos)cha Mbaragane katika...
Waziri wa Ujenzi Prof Mbarawa amesema daraja la mto wami pamoja na flyover mbili za Dar zitazinduliwa rasmi na kuanza kutumiwa na wananchi tarehe 30/5/2022.
Ni hivi nyongeza ya mshahara kwa 23.3% inaanza kwa watumishi wa Umma wenye kima cha chini 300,000.. so approximately mtu huyo anapokea 70,000 extra!! Hizo asilimia zinakuwa zinapungua kadri...
Serikali imebainisha kuwa wastani wa Sh700 bilioni zitaihitajika kuhamisha kaya 22,000 zilizoko eneo la hifadhi la Ngorongoro ikiwa wananchi wote watataka kuondoka ili kupisha ikolojia ya uhifadhi...
SIMIYU: KAMPUNI ZILIZOSAMBAZA DAWA FEKI ZA PAMBA KITANZANI
Mkuu wa Mkoa Simiyu, Ndugu David Kafulila amesema timu aliyounda kuchunguza ukubwa wa tatizo la dawa feki za pamba itamaliza kazi siku...
Mkoa wa Simiyu ni moja kati ya mikoa ambayo inajishughulisha zaidi na kilimo pamoja na ufugaji. Hasa kilimo cha Pamba sasa ivi pia wanalima Alizeti.
Kwa miaka mingi kilimo cha pamba mkoani Simiyu...
KASI YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA ELIMU, CCM YATOA NENO KWA RAIS SAMIA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uwekezaji mkubwa uliofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.