Chenga ya mwili: Walininukuu vibaya, sikusema nyongeza ni asilimia 23.3 kwa kima cha chini bali nyongeza ni sh 23,300/= kwa kima cha chini!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
 
Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
 
Kuupiga mwingi ni pamoja na kupiga chenga nyingi zikiwemo chenga za mwili!! Kwa nini hamuelewi? Hivi ukiwa dereva mzuri halafu unaendesha gari kwenye barabara yenye mashimo, maana yake utajitahidi kwa kadri unavyoweza kupunguza kasi ya mwendo na kukwepa mashimo kwa kadri inavyowezekana! Sasa kuna wengine eti hawataki upunguze mwendo na hawataki ukwepe mashimo!! Ukiwasikiliza hao udereva utakuwa umekushinda!! Sifa ya kuupiga mwingi hata kwenye mashimo ni ujinga!! Kuongoza nchi yenye matatizo ya kiuchumi ni sawa na kuendesha gari kwenye barabara yenye mashimo, nieleweni ninapoyakwepa mashimo vinginevyo wote tutapata ajali na tusiweze kufika salama huko tunakokwenda kwenye uchumi wa kati na wa juu!! Nadhani sasa nimeeleweka!! Subirini abiria wangu, tukifika kwenye lami mtanipenda sana!! Ila kwa sasa sifa za kuupiga mwingi zisubiri kwanza!!
 
Duh sasa hii ni zaidi ya madharau, lakini kama kawaida yenu mtawapigia kura tuu hao hao, na wameongeza mikodi kwenye transactions itakayokula zaidi ya hizo 23,000 kwa mwezi, msiogope mabadiliko wafanyakazi wapeni wapinzani hata nusu ya viti vya ubunge hawa CCM ni wehu tuu na wana akili za kimaskini sana
Mtaelewa tu mdogo mdogo!! Huu mchezo hautaki hasira!!
 
Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
Mwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap
 
Mgomo wa daktari ni mzuri maana mgonjwa atakufa leo na serikali itang'amua mapema na kutatua tatizo.

Mgomo wa mwalimu ni balaa maana tatizo litajulikana miaka mitano mbele na tayari kizazi kimeshaharibika.

Mama hajui kama anadanganywa na washauri wake atakaokutana nao 2025.
 
giphy.gif
 
Hakuna mwalimu atagoma Tanzania hii chief
 
Kama nyongeza kwa kima cha chini ni sh 23,300/= maana yake nyongeza inapungua kwa kadri mshahara unavyokuwa mkubwa hadi nyongeza inakuwa chini ya sh 10,000/=. Na ndivyo watumishi mlivyopata kwenye mishahara yenu! Bila shaka sasa nimeeleweka!
Wewe ndiyo yeye?
 
Mwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap
Acha kuandika ujinga kama huu.Mbona Mwendazake mlikuwa mnahusisha Kwa mabaya yote yaliyokuwa yaliyokuwa yakitokea hapa nchi.Hakika CHADEMA NI SHIDA KUBWA HAPA. NCHI
 
Mwigulu ni tatizo.
Hakuna kitu ana agizwa na Mh. Rais halafu aka fanya kama alivyo agizwa. Kumbukeni haya machache,
Tozo kwenye miamala ya simu.
Ruzuku kwenye mafuta ya magari
Gharama kwenyemafuta ya chakula. Na sasa mishahara.
Lengo la huyu rais wa mawe ni kumgombanisha Mh Rais na wananchi.
Kuna hitajika badiliko wizara ya fedha asap
Watu wengi hawajui Hili Mwigulu ni waziri wa fedha ambae ndie huumiza Watanzania ...mtu akijua hili hawez kumpenda huyo jamaa
 
Back
Top Bottom