Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu mkuu wa wizara ya afya prof Abel Makubi amefanya ziara ya kushitukiza kwenye hospitali ya taifa ya muhimbili kitengo cha mifupa MOI na kukuta mashine za MRI na CT scan zimeshaharibika na...
8 Reactions
122 Replies
9K Views
Mbunge machachari wa jimbo la Arusha mjini bwana Mrisho Gambo amewashukia wale wote wanaomshutumu kuwa haelewani na viongozi wenzake wa jiji la Arusha, ni bora hiyo hali iendelee ina manufaa kwa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Arusha. Kumetokea kamata kamata ya watu isipokua wazee, wenye ujauzito, vilema, na watoto u-18, wakacheze mgambo kwa lazima huko namanga mpaka wa tz na ke. Je, ni sahihi kwenye hili? Je, ni kwa Tz...
2 Reactions
2 Replies
553 Views
Barua ya Tanroad wakikataa Posho za Safari hii hapa. Mambo yanazidi kugeuka? Yamekuwa Makumu?
3 Reactions
52 Replies
8K Views
Serikali ya Tanzania imesema iko katika hatua za mwisho za majadiliano na Serikali ya Vietnam kujenga viwanda vitakavyobangua Korosho hapa nchini (Tanzania) ili kuiongezea thamani badala ya kuiuza...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana jana Dodoma, chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu, imeiagiza Serikali kuchunguza mwenendo wa Jeshi la Polisi baada ya wananchi kupoteza imani na...
17 Reactions
78 Replies
7K Views
Inashangaza sana. Kwa nini UV-CCM iwe kipaumbele? Rais nakuagiza useme kitu katika hili. This is not fair kabisa. Waangalieni hawa ma-jobless angalau wapate mitaji ili wajiajiri. Sent...
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Kwa mliobahatika Kuutizama Jana mtakubaliana nami kuwa. 1. Wagombea Wenza wana Akili sana kiasi kwamba wanashawishi kuwa wakiwa Ikulu watakuwa Msaada mkubwa Kwa Mabosi zao (Marais) 2. Wagombea...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Vikilambishwa Asali huwezi kuvisikia vikipiga kelele!. Vimeishiwa sera na kubakiza matamko!. Vimeishiwa mbinu za kisiasa na kubakiza chuki na visasi. Vinavizia matukio ili kupata kick za kisiasa...
1 Reactions
0 Replies
534 Views
Ukweli lazima usemwe kwa sababu malalamiko yamekuwa Mengi hadi kero. Wamachinga wameondolewa lakini Maisha yanaendelea. Kwanini swala la watumishi iwe Nongwa? Mna unyeti gani ? Walio katika...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanesco wametangaza Kesho kutakuwa na zoezi la kuiunganisha SGR kwenye.Gridi ya Taifa mkoani Morogoro Mikoa ya Tanga Pwani na Morogoro itakosa Umeme kwa muda Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Pamoja na kwamba Dr Mwigullu Nchemba ndiye mchumi Bora kabisa kwa sasa nchini Tanzania lakini kutengeneza Mishahara siyo fani yake Mtu wa Sayansi ya Fedha anajua kabisa huwezi kuongeza mishahara...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukisoma vizuri kitabu cha WHY NATIONS FAIL ( The Origins of Power,Prosperity & Poverty) cha DARON ACEMOGLU na JAMES A.ROBINSON utajua kwa uhakika ni kwa nini Tanzania yetu ni masikini hivi na...
64 Reactions
333 Replies
28K Views
Ifike hatua tuache kubembelezana, Serikali ilisema kabisa imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini? Hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikuwa wanapata hadi 280...
13 Reactions
59 Replies
4K Views
Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha. Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameinyooshea kidole Wizara ya Nishati kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Mheshimiwa Rais, Kwa Watanzania wengi wewe ni Mama yetu kipenzi, Kwa Watumishi wote wewe ndiyo mboni yao. Mheshimiwa Rais, kwa muda mfupi uliokaa madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
8 Replies
861 Views
Huwezi kukutana na mama Samia,rais wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa nchi na serlikali halafu unajiaachia tu ,unakaa Kama unasubiri githeri maeneo ya Kayore. Ebu angalia utulivu wa mama halafu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Fidia wanayolipwa wananchi kupisha miradi ya maendeleo inwaacha wakiwa hawana uwezo tena wa kumudu maisha yao ya awali. Mfano mtu anafanyiwa tathimini anakujalipwa baada ya miaka mitano ambapo...
2 Reactions
2 Replies
568 Views
Back
Top Bottom