Rais Samia anaongoza nchi kwa "danganya toto" style

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,406
Rais Samia amejizolea umaarufu kuwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.

1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).

2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).

3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).

Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
 
Hiyo picha inakwambia kila kitu!

1658610017921.jpeg
 
Rais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.

Mtu ambaye hatogombea 2025 ana wasiwasi gani ?
 
Ww una akili ndogo tu Mama wala hana tatzo, kweny hyo asilimia 23.3% alisema n kwa wale wa kima cha chin wanaopokea kuanzia kias kama laki tatu hv na wala si kwa kila mtumish hasa wale weny mishahara mikubwa, acha kukurupuka na kama uliwaahid watu utanunua gari ushakwama.Tumia akili kufikir.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unaweza kuthibitisha hiki ulichoandika ?
 
Sidhani kama una masikio au macho!
Utatabika sana kutetea hili swala.

Watumishi siyo mburura kama unavyo fukiria. Watumishi kupotezea usiamini hawajui cha kufanya, wanajua sana.
 
Rais Samia amejizolea umaarufu kwa mtu ambaye anatoa ahadi nzuri sana na tamu sana kusikika masikioni. Lkn linapokuja suala la utekelezaji ahadi hutekelezwa ama kinyume na ahadi au hatekelezi kabisa. Hii ndiyo tunaita "danganya toto" style. Nitatoa mifano mitatu tu hapa chini.

1. Rais Samia ktk hotuba yake ya kwanza aliyoitoa bungeni aliahidi kukaa na viongozi wa vyama vya upinzani lkn mpk leo hajafanya hivyo. Badala yake anakutana na mmoja mmoja badala ya ya kufanya nao kikao cha pamoja. Hadi sasa amekutana na viongozi 3 tu. (Alitudanganya).

2. Wakati wa mazishi ya mwendazake, aliahidi kumalizia miradi yote aliyoianzisha mwendazake kama ilivyopangwa. Lkn sote tunajua kasi ilivyopungua ya utekelezaji wa miradi hiyo. Na mingine imesimama kabisa. (Alitudanganya).

3. Ktk hotuba yake Mei Mosi ya mwaka huu (2022) alituahidi watanzania kuwa ataongeza mishara kwa watumishi wa umma serikalini kwa 23%. Lkn tangu jana mitandaoni kuna malalamiko ya wafanyakazi kuwa wamepigwa changa la macho. (Alitudanganya).

Tabia hii inajenga hasira kwa watanzania na kuona kama rais anawachezesha shere.
Najua mkuu 'Erythrocyte' shaisoma hii mada. Nategemea na yeye ataongeza "hadaa" kadha wakadha anazozifanya mkuu wetu wa nchi.

Mimi naongeza moja tu, ambayo pengine ndiyo ya mwanzo kabisa katika kuwadanganya waTanzania..
Alisema "Kazi na Iendelee." Hata kama sikutarajia aendeleze yapi na aache yapi, lakini ahadi hiyo ilikuwa ni hadaa tu! Sijui kwa manufaa gani na kwa nani?

Samia kazi hawezi.
 
Fanyakazi acha uvivu,watu wavivu,huwa wanapenda sana kulalamika.
 
Najua mkuu 'Erythrocyte' shaisoma hii mada. Nategemea na yeye ataongeza "hadaa" kadha wakadha anazozifanya mkuu wetu wa nchi.

Mimi naongeza moja tu, ambayo pengine ndiyo ya mwanzo kabisa katika kuwadanganya waTanzania..
Alisema "Kazi na Iendelee." Hata kama sikutarajia aendeleze yapi na aache yapi, lakini ahadi hiyo ilikuwa ni hadaa tu! Sijui kwa manufaa gani na kwa nani?

Samia kazi hawezi.
Acheni uvivu,fanyeni kazi.Watu wavivu kwa kulalamika,hamuwezekani.
 
Yule mwendazake alidanganya Tanzania hakuna Corona. Uongo kama ule ni mbaya zaidi maana ulihatarisha maisha ya watu.
 
Kuhusu nyongeza ya 23% kiuhalisia hilo hakulisema siku ya Mei Mosi, lilisemwa na watendaji wake wengine baada ya mei mosi, na bado hawakupotesha (walisema kima cha chini cha mshahara kingeongezeka kwa 23%), ni kweli nyongeza imetokea kwa 23% lakini kwa kima cha chini.

Hadaa kubwa zaidi aliwahi kuisema Rais Samia kwa umma ni kudai yeye na Magufuli ni kitu kimoja wakati kiuhalisia ni watu wawili wenye kukinzana kwa 90% ya utendaji wao.
 
Back
Top Bottom