Mwigulu anafaa kuwa Rais ajaye

Mwigulu anafaa kuwa Rais ajaye

Pimbi moja iliyoongezewa 25,000/= kwenye salary yake huku bidhaa hazishikiki mitaani imekaa imewaza na hapo ndio mwisho wake wa ufahamu ulipofikia mwishowe imepata conclusion hii.

Safari ni ndefu sana Mungu baba toa kipengele cha moto kwa Watanzania maana moto tunakutana nao hapa hapa duniani tukiona kwa macho na akili zetu huku tukiwa na kundi la hovyo kama hili.

Na bila shaka mleta mada utakuwa mwalimu wewe,ninyi ndo mna tabia za kenge hamkubali matokeo mpaka damu ziwatoke masikioni au kukimbilia mtoni kwenye maji mengi wakati mvua ikinyesha.
 
Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana Jpm aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri
Yuko vizuri ila sasa ni mbabe na ana dharau..

So long as hato compromise mambo ya uchumi na biashara kama Jiwe mimi sina shida najua atawanyoosha wale wapuuzi wanaotukana hovyo mitandao I kwa kisingizio cha demokrasia..

Mama anawachekea wanajiona ni Washindi.
 
Licha ya wengi kumbeza katika kazi yake ila huyu jamaa anauwezo mkubwa sana hivyo namtabiria makubwa katika nchi hii na ndio maana JPM aliona mbali kumrejesha katika nafasi ya uwaziri
Atakuwa mpuuzi kama ww mleta mada.
 
Mwigulu ni Mwendazake aliyechangamka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwigulu atawageuka matapel wataanza kulialia huyo jamaa ni aina ya jpm sema kaficha makucha yake lakini siyo mwepesi sasa anafanya hivo bora liende akipewa rungu watu wataanza kulialia hasa matapeli wa mali za umma na wahuni
 
Back
Top Bottom