Dkt. Samizi atoa ufafanuzi jimboni kuhusu mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja na namna atakavyohesabiwa

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
*📸DKT. SAMIZI ATOA UFAFANUZI JIMBONI KUHUSU MWANAUME MWENYE MKE ZAIDI YA MMOJA NA NAMNA ATAKAVYOHESABIWA.

Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi akitoa elimu ya Sensa kwa Wananchi wake Jimboni Muhambwe.

Kwenye ziara hii, Dkt. Samizi ameendelea na ziara yake Jimboni kukutana na Wananchi kusikiliza kero zao na kuzitatua, kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na zaidi kutoa elimu kwa Wananchi kuhusu Sensa ya watu na makazi itakayofanyika nchini Agosti 23, 2022.

#KaziInaendelea
#SSH

 
Back
Top Bottom