Waziri kivuli wa Utumishi kutoka ACT wazalendo mbona yuko kimya? Enzi za Chadema waziri kivuli aliheshimika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Jaws ACT wazalendo Uwaziri kivuli ni kama wameuvamia tu yaani hakuna wanachofanya.

Hebu tujikumbushe Mawaziri wa Chadema:

Mchungaji Msigwa..........Utalii

Ezekiel Wenje....... Foreign

Joseph Mbilinyi...... Habari na Utamaduni

God bless Lema...... Mambo ya Ndani

J J Mnyika.......Nishati na Madini

Tundu Lisu....... Katiba na Sheria

Freeman Mbowe...... Waziri mkuu

Jaws jamaal walikuwa hawalali bwashee

Mungu wa mbinguni awabariki Chadema ile!



..
...
 
Ndio maana tunasema NCHI yenye Mfumo wa Vyama vingi hali Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kwa Ajili ya Ujinga wa Mwendazake
Halina Kiongozi wa hiyo Kambi
haina Mnadhimu mkuu wa hiyo Kambi
Halina Mawaziri Vivuli wa hiyo Kambi
Halikuwa na HOTUBA ya Bajeti ya Kambi ya Upinzani
Halikuwa ba Bajeti za Mawaziri Vivuli
ndio maana tunasema Hakuna Bunge bali na Vikao vya Halmashauri kuu ya CCM. Na ndio maana ACT wakaona Wajiteulie Mawaziri VIVULI mitaani
 
Watumishi wa umma ndo waliopewa kaz ya kuiba uchaguzi na kufanikisha wizi wa kishindo, leo wanataka upinzani uwatetee, mna vuta bange nyie
Jaws ACT wazalendo Uwaziri kivuli ni kama wameuvamia tu yaani hakuna wanachofanya.

Hebu tujikumbushe Mawaziri wa Chadema:

Mchungaji Msigwa..........Utalii

Ezekiel Wenje....... Foreign

Joseph Mbilinyi...... Habari na Utamaduni

God bless Lema...... Mambo ya Ndani

J J Mnyika.......Nishati na Madini

Tundu Lisu....... Katiba na Sheria

Freeman Mbowe...... Waziri mkuu

Jaws jamaal walikuwa hawalali bwashee

Mungu wa mbinguni awabariki Chadema ile!



..
...
 
Jaws ACT wazalendo Uwaziri kivuli ni kama wameuvamia tu yaani hakuna wanachofanya.

Hebu tujikumbushe Mawaziri wa Chadema:

Mchungaji Msigwa..........Utalii

Ezekiel Wenje....... Foreign

Joseph Mbilinyi...... Habari na Utamaduni

God bless Lema...... Mambo ya Ndani

J J Mnyika.......Nishati na Madini

Tundu Lisu....... Katiba na Sheria

Freeman Mbowe...... Waziri mkuu

Jaws jamaal walikuwa hawalali bwashee

Mungu wa mbinguni awabariki Chadema ile!



..
...
Ni akina nani hao mawaziri vivuli?
 
Back
Top Bottom