Fahamu kwa kina kuhusu suala la nyongeza ya mshahara!

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Mwalimu Ester Shayo
Moshi
22.07.2022

Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023, baada ya Serikali kutangaza kuwa mishahara itaongezeka kwa 23.3%

Nimegundua kuwa baadhi ya wananchi wakiwemo watumishi wa umma hawakujua kuwa ongezeko la 23% lilikuwa kwa ajili ya kuwainua watumishi wa umma wenye mishahara ya kima cha chini.

Sasa nawafumbua macho ili kuondoa upotoshaji uliopo kutokana na uelewa mdogo uliopo juu ya suala hilo.

Ukweli ni kwamba katika mshahara uliongia siku ya leo watumishi wenye mishahara ya kima cha chini wameona kuwa kuna ongezeko kubwa katika mishahara yao, Ila watumishi wenye mishahara mikubwa wameona kuwa ongezeko ni dogo.

Hivyo basi hii inamaanisha kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN imetekeleza ahadi ya kuboresha maslahi ya watumishi wa Umma wenye kipato cha chini kwa maslahi makubwa ya Taifa na jamii kwa ujumla.

Nina imani kuwa kwa dhamira kuu ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN huu ni mwanzo tu ila yajayo yanafurahisha kwa kuwa amedhamiria kuboresha zaidi maslahi ya watumishi wa umma. Tuendelee kumuunga mkono na kupiga kazi kwa bidii kulijenga Taifa letu.
 
Huu upuuzi kawaelezi wapuuzi wako ati mtu anaongezwa elfu ishirini,na kwa ufahamisho hakuna mfanyakazi ambaye ni mjinga ambaye hakujua kilichotajwa lkn kilio chao hata hao wa chini hawajaongezewa kwa 23% na wanaushahidi.sasa wewe unapoteza muda kuandika huo uchafu subiri wao wakujibu kwa evidence.
 
Lakini kama hamridhiki na kipato mnachopewa na mwajiri wenu, si muache kazi mkafanye shughuli nyingine zenye maslahi zaidi...
 
Mwalimu Ester Shayo
Moshi
22.07.2022

Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023, baada ya Serikali kutangaza kuwa mishahara itaongezeka kwa 23.3%

Nimegundua kuwa baadhi ya wananchi wakiwemo watumishi wa umma hawakujua kuwa ongezeko la 23% lilikuwa kwa ajili ya kuwainua watumishi wa umma wenye mishahara ya kima cha chini.

Sasa nawafumbua macho ili kuondoa upotoshaji uliopo kutokana na uelewa mdogo uliopo juu ya suala hilo.

Ukweli ni kwamba katika mshahara uliongia siku ya leo watumishi wenye mishahara ya kima cha chini wameona kuwa kuna ongezeko kubwa katika mishahara yao, Ila watumishi wenye mishahara mikubwa wameona kuwa ongezeko ni dogo.

Hivyo basi hii inamaanisha kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN imetekeleza ahadi ya kuboresha maslahi ya watumishi wa Umma wenye kipato cha chini kwa maslahi makubwa ya Taifa na jamii kwa ujumla.

Nina imani kuwa kwa dhamira kuu ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN huu ni mwanzo tu ila yajayo yanafurahisha kwa kuwa amedhamiria kuboresha zaidi maslahi ya watumishi wa umma. Tuendelee kumuunga mkono na kupiga kazi kwa bidii kulijenga Taifa letu.
Duh....kwa hiyo ndiyo kusema watu wote tumepotoka??
 
Hawa ndio machawa wa ccm na wanajua wanafanya nini na wametumwa Hawa.
Sema nini watumishi walianza kumwelewa huyu mama ila kwa hili amefuta Imani yote aliyoijenga ,ajiandae tu kwa chuki na kuombewa kila baya km ilivyokua kwa mtangulizi wake .
Vilio vya wengi ni hatar Sana ,bahat mbaya wanasiasa hawajifunzi kabisa
 
Wewe ndio hovyo kabisa. Sasa hapo umetufumbuaje akili? Nilidhani unatoa somo la uhakika kumbe unataka kusifia tu!
 
Ukweli umefika
 
Hawa ndio machawa wa ccm na wanajua wanafanya nini na wametumwa Hawa.
Sema nini watumishi walianza kumwelewa huyu mama ila kwa hili amefuta Imani yote aliyoijenga ,ajiandae tu kwa chuki na kuombewa kila baya km ilivyokua kwa mtangulizi wake .
Vilio vya wengi ni hatar Sana ,bahat mbaya wanasiasa hawajifunzi kabisa
Watafanyaje sasa kwa mfano,yaani kama wewe utafanya nini cha kumtisha Rais labda?
 
Mwalimu Ester Shayo
Moshi
22.07.2022

Nimepita katika mitandaoni nimeona maoni mbalimbali ya watumishi wa umma mbalimbali kuhusu ongezeko la mishahara yao katika mwaka wa fedha wa 2022/ 2023, baada ya Serikali kutangaza kuwa mishahara itaongezeka kwa 23.3%

Nimegundua kuwa baadhi ya wananchi wakiwemo watumishi wa umma hawakujua kuwa ongezeko la 23% lilikuwa kwa ajili ya kuwainua watumishi wa umma wenye mishahara ya kima cha chini.

Sasa nawafumbua macho ili kuondoa upotoshaji uliopo kutokana na uelewa mdogo uliopo juu ya suala hilo.

Ukweli ni kwamba katika mshahara uliongia siku ya leo watumishi wenye mishahara ya kima cha chini wameona kuwa kuna ongezeko kubwa katika mishahara yao, Ila watumishi wenye mishahara mikubwa wameona kuwa ongezeko ni dogo.

Hivyo basi hii inamaanisha kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN imetekeleza ahadi ya kuboresha maslahi ya watumishi wa Umma wenye kipato cha chini kwa maslahi makubwa ya Taifa na jamii kwa ujumla.

Nina imani kuwa kwa dhamira kuu ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN huu ni mwanzo tu ila yajayo yanafurahisha kwa kuwa amedhamiria kuboresha zaidi maslahi ya watumishi wa umma. Tuendelee kumuunga mkono na kupiga kazi kwa bidii kulijenga Taifa letu.
Nonsense
 
Bogus
 
Ndo maana tunadharaulika walimu kwa wapuuzi Kama Hawa,au anajipendekeza apewe shule
 
Back
Top Bottom