Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Please listen to the end, utahudhunika na kuwashangaa wale wote wasemao nchi ina amani.
6 Reactions
32 Replies
4K Views
The terrible performance of TICTS in handling containers at the Dar es Salaam Port over the past 20 years has spillover effects on the vast economic arrays of Tanzania’s economy. The...
1 Reactions
0 Replies
767 Views
Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya...
1 Reactions
153 Replies
54K Views
Serikali kupitia ukurasa wa Twitter wa Msemaji Mkuu wa Serikali imesema itakutana na viongozi wa TUCTA kuhusu suala la nyongeza ya mishahara. Taarifa hiyo imesema hivi: Ndugu wafanyakazi, Jumanne...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mbunge wa Tabora Mjini, Emmanuel Mwakasaka amesema pamoja na mambo yote yanayofanywa na Wizara ya Nishati lakini wananchi wa Tabora wanataka umeme. "tuongeee yote wanataka kuona umeme ni umeme ni...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Matatizo ya viongozi wetu wengi ni kujifanya wanajua masuala ya ukandarasi na ujenzi wakati kiukweli ni watupu kabisa. Taarifa ya habari saa mbili ITV waziri Makamba amewaonya makandarasi wazawa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais Samia jikite kufungua na kuanzisha miradi, jikite kupambana na mfumuko wa bei, jikite kuhamasisha viwanda . Viwanda ndiyo vitanunua mazao ya wakulima ,viwanda ndiyo vitazalisha ajira nyingi...
13 Reactions
42 Replies
4K Views
Wadau nina siku nyingi sana nazani takribani mwaka mzima bila kuona Baraza la Mawaziri likiwa limeketi. Wanakaa kwa siri? ama siku hizi halipo? Embu wakae wajadili walau hari ya chakula hapa...
2 Reactions
9 Replies
935 Views
Habari wadau. Naongea na watu wa bodi ya mikopo HESLB. Vijana wetu wanaenda kuomba mikopo kwenye website yao na hakuna msaada. Kwa mfano wamehitaji namba ya NIDA kwa hawa vijana. Baadae wanasema...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Licha ya Leo kuwa kumbukizi ya Kifo cha marehemu Benjamin Mkapa ila sijaona Uzi toka asubuhi licha ya kwamba bwana huyu ameacha legacy nzuri Sana kwenye uongozi na...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma leo tarehe 25 Julai, 2022 - Rais...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu poleni KWA mfumuko wa bei! Rais Samia wa Jamuhuri ya muungano watanzania anafanya juhudi za maksudi KABISA Ili astaafishwe mapema kutokana na maamuzi anayoyachukua:- 1. Anakopa Sana...
26 Reactions
123 Replies
7K Views
Mchwa ni wale Watumishi ambao kucha kutwa kazi yao kubwa ni kifisadi Fedha za Miradi ya Maendeleo serikalini Chawa ndio wale wapambe ambao kazi yao kubwa ni Kuwapamba viongozi wa kisiasa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi Mtanzania aliyetumiwa na Mzungu kupigana Vita Kuu ya Wazungu/Dunia anaitwa shujaa kwa lipi haswa? Ni shujaa kwa nani? Alimpigania nani vita hadi tumuite shujaa? Miaka hiyo Tanzania ilikuwa ni...
1 Reactions
1 Replies
746 Views
Manung'uniko yamesambaa nchi nzima kuhusiana na kauli aliyoitoa Rais wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (TUCTA), pale aliporopoka mbele ya Wafanyakazi waliopoteza matumaini kwamba MAMA...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Hapa katikati naona kama bifu kati ya wafanyakazi hasahasa walimu na jobless inazidi kuota mizizi hii nibbaada ya walimu wengi kupigana vikumbo na jobless kwenye kazi za sensa ongezeko la...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
---- Godbless Lema katika ukurasa wake rasmi wa Twitter anaeleza kuwa BAD NEWS 17:00 JIONI 20/07/2022 Uvccm wamempiga Kisu mgongoni KATIBU WA CHADEMA KATA YA KIKATITI kamanda Ephata Pallanygo...
1 Reactions
82 Replies
6K Views
Hawa wafanyakazi wanaolalamika kwamba wametapeliwa mishahara yao wengi ni walimu na wanashaangaa eti kwa nini Chadema haiwasemei. Huku John Mnyika akiwa busy na mambo mengine kama hakujatokea kitu...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Vijana ndio injini ya siasa za nchi yoyote ile duniani Hapa Tanzania taasisi mashuhuri za vijana ni UVCCM na wadogo zao Bavicha Lakini kwa muda sasa hizi taasisi ziko kimya hata viongozi wao...
0 Reactions
9 Replies
824 Views
Back
Top Bottom