Hakika mwaka 2015 tulichaguliwa wabunge

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Msikilizeni mwenyekiti wa ccm alivyokuwa analazimisha wananchi kumchagua mbunge wa kawe.

Jambo hili bado linalalamikiwa sana kwa kutuletea kuongozi aliye chaguliwa na mwenyekiti na siyo maamuzi ya wananchi wenye jimbo lao.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom