Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi, Lavrov yuko Afrika Mashariki Lavrov yuko kwenye ziara ya kuzitembelea nchi ambazo hazifungamani na upande wowote katika vita ya Ukraine Lavrov kesho atakutana na...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Jana Julai mosi, wananchi wa Burundi waliadhimisha miaka 60 tangu nchi yao ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa Ubelgiji Jumapili ya Julai mosi, 1962. Mwaka moja kabla ya siku ya uhuru...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna wakati unafika tunammis JPM kuoitia hili sakata la TUCTA na serikali hqpa nimemkumbuka sana JPM, sometime udikteta unasaidia Miaka sita watu hawajaongezwa mishahara lakini hawakuongea...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Mnatuona watanzania wote kama majuha kwa kutulisha upotoshaji. Nani hajui kwamba Covid19 ilipelekea watalii kwa maelfu Duniani,walisitisha safari kuja Afrika ikiwemo Tanzania. Anayebisha ajaribu...
11 Reactions
39 Replies
1K Views
Ukimchukia au kama humpendi Rais Samia Suluhu uwe na sababu. Sio sababu tu, bali sababu za msingi ambazo unaweza kuzijengea hoja nzito na kila mja akakuelewa. Kimsingi Rais Samia ndani ya siku...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati January Makamba amesema vijiji vyote nchini vitakuwa na Umeme ifikapo December mwaka huu Baada ya hapo watahamia kwenye Vitongoji ambapo kila Kitongoji nchini kitapelekewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CCM imefika mahali wao kila kitu ni siasa. Nimeona watu wanapiga sana kelele sana kwenye mitandao kua uvccm ndo watafanya hili swala. Nimejiridhisha kwa [emoji817] % kuwa ndo wanapewa nafasi ya...
17 Reactions
61 Replies
5K Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuboresha viwanja vya ndege nchini kutanua wigo wa kibiashara ili kuinua uchumi nchini. Katika ya viwanja vya ndege vilivyofanyiwa Marekebisho...
0 Reactions
5 Replies
921 Views
Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza neema kubwa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima. Neema ambayo inakwenda kuwakomboa kabisa kimaisha. Hatua hii imekuja baada ya...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Wizara ya Kilimo wameamua kubadilisha sekta ya kilimo kutoka kilimo cha kwenye karatasi kwenda kwenye utekelezaji. Katika hotuba zake za hivi karibuni Rais Samia...
3 Reactions
8 Replies
734 Views
Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, amegiza Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD) kufumuliwa na kusukwa upya ndani ya miezi sita hilo likienda sambamba na kuondoa watumishi waliokaa zaidi ya miaka...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Serikali imeahidi kushughulikia swala la Mishahara, Posho na Mikataba ya Kazi ya Madereva wote nchini na kuwataka wasitishe mgomo wao. Waziri mkuu Majaliwa amesema mgomo wa Madereva ni Uhujumu...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza mkoani Tanga wakati akifungua kikao cha viongozi wa Dini pamoja na wadau wengine maendeleo kujadili mambo mbalimbali ikiwemo mikakati ya uhamasishaji na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Tanzania inaendelea kukua katika sekta yake ya kilimo, hasa kwa vyakula vikuu kama mahindi, mihogo, mpunga, mtama na ndizi...
0 Reactions
1 Replies
521 Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho...
1 Reactions
6 Replies
860 Views
Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane. Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Huwezi kuwasikia kabisa Chadema wakimtaja Chacha Wangwe kuwa aliuwawa japokuwa hata mazishi yake walihudhuria hata kama walifukuzwa kwa kupigwa Mawe Wao humtaja tu Ben Saanane ambaye mbunge wao...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Kutakana na upotoshwaji wa Mgogoro unaoendelea kati ya mtaa wa mvuleni na kijiji cha Tambani Mkuranga, Napia kutokana na unyama unaofanywa na viongozi wa vitongoji jirani kwa kuwa tesa kwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom