Nani anaundanganya Umma wa Tanzania au Watumishi wa umma wa nchi hii? Msemaji wa serikali anasema wamewapa viongozi wa TUCTA muda wakajadiliane.
Wakati huo huo Rais wa TUCTA anasema wameipa serikali muda ije na majibu kwanini nyongeza ya mshahara imekuwa tofauti.
Kwa vyovyote vile kati ya TUCTA na serikali upande mmoja unawadanganya wafanyakazi wa nchi hii.