Mhe. Dkt Harrison G. Mwakyembe(MB) ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, amechukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka...
Wadau wa JF
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Balozi Gaston Kennedy kwa niaba ya Rais wa Tanzania & Amiri Jeshi...
Hii ndio taarifa inayotembea mitandaoni kwa sasa, hasa baada ya kikosi kazi cha serikali kinachoongozwa na Profesa Mukandala kusoma mapendekezo ambayo hayafahamiki yalikookotwa.
Mukandala huku...
20 July 2022
Arusha, Tanzania
‘Democracy Should Go Beyond Elections’
Former President of Sierra Leone Ernest Bai Koroma said here today that democracy in Africa should go beyond regular...
Kuna wakati Msigwa na Kasesela walitaka kudundana ngumi pale Nduli airport kila mmoja akitambia Cheo chake.
Leo tunapishana tu hapa Miyomboni tukihemea vibaba
Hakika kuna maisha baada ya vyeo!
Wadau Nawasalimu.
Naomba kufahamishwa yafuatao kwa mwenye Uelewa Mpana juu ya BUNGE
1.Ni Chombo Gani KISHERIA kinachopanga Mishahara Posho na Mafao ya WABUNGE?
2.Kwanini Mishahara Posho na...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye...
Waziri wa Nishati anazunguka nchi nzima eti kutoa elimu ya madhara ya Moto wa kuni na pia manufaa ya matumizi ya gesi!
Nani kamwambia Makamba kwamba wananchi hatujui madhara yasababishwayo na...
Nimekuwa nikifatilia ziara za huko mikoani ambapo Waziri wa Nishati, Januari Makamba akihamasisha na namna ya kutumia nishati ya gesi na kupunguza matumizi ya mkaa na kuni.
Katika ziara yake...
Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio...
Serikali ya awamu ya sita imeboresha mazingira ya uwekezaji na haya ni baadhi ya maeneo ambayo yameboleshwa;
Uchumi Imara
Uchumi wa Tanzania umekua kwa asilimia 4.9, hii inatokana na mageuzi...
✓ Dai lao kuu ni kuiomba mahakama ipitie mchakato wote wa CHADEMA kuanzia ndani ya KK na kisha BK wa kuwafuta/kuwafukuza uanachama ili mahakama ijiridhishe iwapo CHADEMA walifuata taratibu na...
Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele.
Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020...
Akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chadema, Nje ya Jiji la Dar es Salaam, Huko Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu, Amesema kwamba Upendeleo wa Ajira...
Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali.
Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake...
Akiwa katika ziara ya wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Waziri Mkuu ameshangaa kuona kila mradi inategemea Fedha za Uviko.
Majaliwa ameuliza kwanini miradi ya Stendi ya daladala Mwenge na...
Habari JF,
Unajua uongozi ni mgumu sana sababu kubwa ni kwamba unaongoza mamilioni ya watu wenye akili na mitizamo Tofauti.
Kupitia mazingira hayo ndio tunaona viongozi wanaenda mbali na kufanya...
Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali.
Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.