Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 259
- 353
Serikal ya Rais Samia Suluhu imeidhinisha Sh. Bil 56 kwa mkoa wa Morogoro katika mikataba 46 ya miradi ya maji vijijini ili kuhakikisha lengo la asilimia 85, linafikiwa ifikapo mwaka 2025 kuodoa changamoto ya uhaba wa maji.
Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Morogoro alikaririwa akisema kuwa ndani ya mwaka mmoja mkoa wa Morogoro katika kiwango cha usambazaji wa maji umetoka 62% hadi 72%.
Kurahisha zoezi hilo, utoaji wa fedha hizo uliambatana na utoaji wa pikipiki kwa watumishi ili kuweza kutekeleza agizo la Serikali kwa weledi wa hali ya juu.