Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Samia Suluhu Hassan kwa kutambua umuhimu wa wanafunzi wa masomo ya Sayansi na Teknolojia hasa katika zama za wakati tulio nao, Rais Samia Suluhu kupita bajeti ya Serikali ya Wizara ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi mh Lavrov atakutana na wawakilishi wa viongozi wa nchi ambazo hajazitembelea nchini Ethiopia Jana Lavrov alikuwa nchini Uganda kwa mazungumzo na Rais Museven...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Kabla ya hayati Magufuli marais waliotangulia walikuwa watu wa Arts ( Sanaa) Ikumbukwe kuwa Ulimwengu una pande mbili Sanaa na Sayansi Natamani 2030 tumpate Mwanasayansi mwingine yaani wawe...
15 Reactions
46 Replies
2K Views
Chama chochote cha wafanyakazi kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu, ni mhimili ulio kati kuangalia maslahi ya Mwajiriwa na Mwajiri. Lakini kwa kuwa vyama vya wafanyakazi hapa nchini mwetu Historia...
23 Reactions
135 Replies
18K Views
Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Tanzania ya sasa inaitwa ya viwanda. Somo la physics limeachwa na serikali hailiangalii kwa jicho kali. Wakati nasoma mimi somo hili halikuwa na walimu wa kutosha. Advance mwalimu mmoja...
1 Reactions
3 Replies
563 Views
Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania. Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa...
9 Reactions
57 Replies
4K Views
Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari Kanisa Katoliki Jimbo la...
51 Reactions
367 Replies
39K Views
Askofu Niwemugizi alipotumia uhuru wake wa kutoa maoni, kufumba na kufumbua, makachero wakamvaa na kumpora pasi ya kusafiria. Wakauliza, "Wapi kaburi la bibi ya babu yako?" Sasa kabla Baba Askofu...
50 Reactions
132 Replies
16K Views
UVCCM_ TAIFA JULAI 27, 2022 SUMBAWANGA Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. ABDULRAHMAN KINANA akizungumza na Viongozi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Katika Mkutano wa ndani...
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Hatuwezi kuwaita waliotumika chini ya mkoloni mashujaa bila kuwaita wakoloni wenyewe mashujaa. Mnatuchanganya? Yapo mambo mengi mmeyaficha katika historia, hamuwaambii wananchi kuwa wapo ndugu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Rushwa, iwe ya kiwango kidogo au kikubwa, inakatiza na kuzuia utawala wa sheria kutekelezwa ipasavyo. Ni kikwazo kikubwa katika utawala bora kwani huathiri sekta ya umma na binafsi na kusababisha...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Akizungumza kwenye kikao cha Wakuu wa Shule za Wazazi za Chama cha Mapinduzi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Dk Edmund Mndolwa, amedai kwamba kwenye awamu iliyopita walilazimishwa kukalia...
26 Reactions
175 Replies
13K Views
Wanajamvii mambo vipi? Jamani kwenye pitapita zangu nimekutana na matangazo ya TRA kwenye gazeti la Daily News kuna Makontena zaidi ya 20 mali ya Mr Paul Makonda kupigwa mnada nikajiuliza ni...
3 Reactions
235 Replies
51K Views
Poleni Wazazi, Ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa kupoteza watoto wetu katika ajali iliyotokea leo ya basi( Hiace) la shule ya King David katika mteremko wa mji mwema Manispaa ya Mtwara...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Miongoni mwa MATUMIZI Mabaya ya SERIKALI hii ni pamoja na Kuwalipa MISHAHARA na POSHO waliokuwa Wanachama wa Chadema 19 ambao Walipewa UBUNGE pamoja na KUFUKUZWA Uanachama na Chama chao bado BUNGE...
4 Reactions
5 Replies
766 Views
Balozi Caroline Kitana Chipeta ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Mh Balozi ameyasema hayo ndani ya Kanisa, huko Muryaza Wilayani Butiama, alipokuwa kwenye misa ya shukrani kwa Mungu kwa kulitumikia Jeshi la polisi na hatimaye kuwa balozi wa Tanzania Nchini...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Watanzania! Poleni KWA tozo,ugumu wa maisha na kizungumkuti cha kodi ya kichwa ijayo! Mungu atupe uvumilivu katika mateso tunayopewa na Watoto tuliowazaa sisi wenyewe! Wakati kelele za mchakato...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom