Mipango ya serikali ya kukipa thamani kilimo

Rashda Zunde

Senior Member
May 28, 2022
199
231
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Tanzania inaendelea kukua katika sekta yake ya kilimo, hasa kwa vyakula vikuu kama mahindi, mihogo, mpunga, mtama na ndizi.

Mradi huo mpya wa umwagiliaji utaboresha mavuno ya ngano katika mazingira ya ukame wa Mbeya, unaodhihirika kutokana na kukosekana kwa mvua, na mgogoro wa Ukraine, unaosababisha bei ya ngano kupanda kimataifa.

Mpango wa serikali wa kukiinua kilimo na bajeti kubwa iliyowekwa kwenye sekta hii itaenda kuongeza uzalishaji wa mazao na pia kutosubiri kwa misimu ili mazao yakue. Mfumo wa umwagiliaji utawezesha Tanzania kuwa ghala la chakula kwa nchi nyingi Africa.

Kilimo ndio uti wa mgongo na ndio maana serikali imetenga fedha nyingi kwenye bajeti ili kiweze kusaidia taifa.
 
Back
Top Bottom