Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Albert Chalamila Mhenga wa Kale Sijui unamfahamu mkuu wa mkoa aliyewahi kufukuzwa kwa kashifa ya mabango? Huyu bwana mimi namuita Mwamba kwa sababu kutimuliwa ukuu wa mkoa tena na mwanamke na...
15 Reactions
33 Replies
5K Views
Vijana mliopewa dhamana ya kuwaongoza Watanzania wenzenu iwe kwa ngazi ya Kitaifa, Mkoa, Wilaya, Tarafa, Kata,Kijiiji au kitongoji, Chungeni saana ndimi zenu, angalieni sana matendo yenu...
1 Reactions
2 Replies
548 Views
Kukosoa safari za Rais kwa kusema anasafiri sana ni upuuzi wa kiwango cha juu. Unajua msituletee legacy za ajabu ajabu hapa. Safari za nje ni muhimu sana, Binafsi sioni shida ya rais kusafiri...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu nimefikiria kwa muda sana kabla nilete bandiko hili. Nchi ua Tanzania imewahi kupoteza ama kupata hasara vitu vingi sana. Ila hasara kubwa kuliko zote toka uhuru ni kumpoteza mpendwa wetu...
56 Reactions
168 Replies
10K Views
Wengi wetu Huwa tunaamini kwamba ukishachaguliwa au kuteuliwa kuwa Kiongozi basi nafasi hiyo ni yako milele, jambo ambalo tunakosea sana unapopewa nafasi haimaanishi kuwa wewe ni bora kuliko wote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna ajira mpya ya kisiasa imezuka katika Taifa letu nayo inaitwa uchawa. Uchawa ni kitendo cha kuwa mfuasi kindaki ndaki wa mtu kwa matendo na kauli zake bila kujali uhalali wa kile...
20 Reactions
61 Replies
4K Views
Ni rushwa, ufisadi na upendeleo wa kutisha. Behold! Behold! Tazama! Tazama! Na. 164. Tabitha Nyansika Getama karani wa sensa kata ya kivule wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar Es Salaam ~ mtoto wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejuzwa kwamba moja ya vigezo vya kuwatumbua Wakuu wa mikoa Ilikuwa ni usimamizi mbovu wa miradi hususani ile ya mkopo wa Uviko Sasa nyie mnayemtetea David aka Tumbili huko Simiyu.fedha za...
1 Reactions
9 Replies
984 Views
Kutokana na kukwama kwa miradi mingi mkoani Mara Rais Samia amesema anakwenda kuchunguza mwenendo wa viongozi wote wa mkoa na kwa kipindi hicho cha uchunguzi amemtaka Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa...
29 Reactions
123 Replies
13K Views
Uchaguzi wa 2025 utakuwa na mtafaruku sana. Huko Mkoani mara tayari Ally Hapi anadaiwa kupiga ufisadi mkubwa huku yeye akidai ni Mbunge wa Tarime ndie fisadi na amemzibia madili. Mbunge Mwita...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Dkt. H.G. Mugala, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa na Utawala. Awali ya yote ninampongeza Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uteuzi huu alioufanya, nimepitia jina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chunga sana maneno ya wana CCM. Akisema haji jua anakuvizia aje kwa kustukiza. Maneno na matendo yao hupingana siku zote. Waliposema Elimu Bila malipo ni jambo lisilowezekana, waliposhinda...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Watu tunapambana huku na kule, tunajikusu tunatoa kwa ari kubwa kusaidia chama na serikali yetu majina yetu hamyapeleki, nimekwazika sana. Sijaona jina langu na pesa zangu mmekula. Watu...
1 Reactions
4 Replies
860 Views
RIDHIWANI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI CHALINZE AMBAYO INAZIDI KUMULIKWA NA SERIKALI YA RAIS SAMIA. WADAU WAMUUNGA MKONO. Jana Jumatano Julai 28, 2022 Mbunge wa Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana. Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi. Hongera...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Uteuzi wa Chalamila umetoa Funzo kubwa sana kwa vijana, Baada ya kutenguliwa Chalamila aliendelea kuwa na heshima ndani ya chama chetu cha CCM. Chalamila aliendelea kuheshimu mamlaka ya uteuzi na...
8 Reactions
9 Replies
2K Views
tusicho kijua ni kuwa Marais wengi sio Binaadam na sio Watu pia, ili uwe Binaadam ni lazima uwe na sifa za kibinaadam na ili uwe Mtu ni lazima uwe na sifa njema za Kiutu. ndio maana wagombea wa...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Waziri wa Mambo ya Nje Mh. Mulamula jana alikabidhiwa msaada wa Tende kutoka kwa Balozi wa Saudi Arabia nchini. Matunda ya Tende hutumiwa kama tiba mbadala kwa Maradhi mbalimbali. Source: ITV
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu, Rais wetu mara kadhaa amekuwa akiteuwa na kutengua teuzi zake, pia amekuwa akibadili majukumu ya viongozi mara kwa mara, mara hii hadi kaamua kumrejesha mtu aliwahi kumtumbua katika...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom