Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiufupi RC Mtaka ni mtu anayeamini katika kufurahisha watu washangilie kwa muda baadae kombe linafunikwa mwanaharamu anapita bila mabadiliko kutokea au kufanyika. RC ni mtu anayejijenga kupitia...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Hata ukiangalia nature yake na hasa ile nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama utagundua hizi siyo nafasi za Vijana. Vijana sehemu zao ni RAS, DAS, DED, WEO, VEO na vyeo vingine vya...
2 Reactions
1 Replies
547 Views
Kwa habari za chini ya kapeti kabisa ni kwamba waliandaa budget ya Miliini 700 Kuhamisha watu Ngongoro na Loliondo. Pesa nyingi imeshatumika tayari na zoezi limesitishwa na human rights. Kama ni...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
UTATUZI WA MIGOGORO IKUNGI SASA NI KATA YA UNYAHAATI Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry Muro akiwa pamoja na wataalamu wa ardhi kutoka ofisi ya mkurugenzi wa halmashauri ikungi leo tarehe...
1 Reactions
11 Replies
884 Views
Je ni kweli siasa za Tanzania zimepoteza mvuto na ushawishi kiasi kwamba wananchi wameona siasa hazina maana na badala yake wameona wawe mashabiki wa mpira? Itakuwa ni kichekesho kwa raia wa...
2 Reactions
1 Replies
693 Views
Naomba sasa tuache blah blah! Niwaulize nyie mnaojitanabahisha kuwa sasa mambo ni mazuri kuliko enzi za JPM. Njooni mtuambie! Wananchi wana raha gani kwa sasa iliyoletwa na utawala mzuri wa mama...
17 Reactions
116 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Juni 2021 amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa Mikoa na kuteua viongozi wengine kama ifuatavyo:- ===== Rais Samia...
37 Reactions
642 Replies
140K Views
Wote walio na nia mbaya na utawala huu wanajikwaa kwa matendo au kwa maneno, Jana aliyekuwa RC wa mwanza alijikwaa mdogo kwakusema Katiba ibadilishwe maana makamu wa Rais anaweza kumdhuru Rais...
8 Reactions
62 Replies
5K Views
Mh Rais Magufuli akiwa ziarani Kigoma, Uvinza amezidi kusisitiza kuwa hii vita dhidi ya mafisadi na wale wote wanaotumia madaraka yao kujinufaisha wenyewe haitamuacha mtu. Akimpongeza Kafulila...
40 Reactions
243 Replies
25K Views
Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu Watanzania. Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana...
14 Reactions
109 Replies
5K Views
Kwa dharau zote mlizoonyeshwa na Ally Hapi ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Iringa hamhitaji sisi raia wengine kuwajulisha cha kufanya , huyu kijana amelewa madaraka na hajitambui , dawa yake ni kuacha...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
ALLY HAPI, ACHA USHAMBA WA MADARAKA! Nimekutana na habari kwamba mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi amemtaka Bi. HILDA NEWTON kujisalimisha polisi mkoani Iringa, kwa mtu anaemtaja kama RPC BWIRE...
8 Reactions
23 Replies
4K Views
Utangulizi Mheshimiwa Dkt. Amani Abeid Karume, Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar; Ndugu Pius Msekwa, Makamu Mwenykiti wa CCM wa Bara; Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Ndugu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni...
9 Reactions
191 Replies
21K Views
Mkuu wa mikoa wa Mtwara amewataka TCRA kumchukulia hatua kali mtu aliyerusha picha za wanafunzi waliofariki kwenye ajali ya Mtwara Aidha RC amemtaka mtu huyo ajisalimishe na kuomba radhi Wananchi...
6 Reactions
47 Replies
5K Views
Heshima sana wanajamvi, Uwanja wa ndege wa kimataifa (KIA) Kilimajaro International Airport ni lango la utalii Tanzania.Uwanja huu umekuwa ukipokea wageni wengi wanaokuja kutalii katika Hifadhi...
22 Reactions
35 Replies
4K Views
"TUJIKUMBUSHE KIDOGO" Mwanzoni mwa mwaka huu, mwezi Januari, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe aliagiza mtuhumiwa aliyekuwa amekamatwa kwa kosa la kuendesha kiwanda bubu cha kutengeneza mafuta ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Serikali inakusudia kuanza ujenzi wa Makumbusho ya Marais katika Mji Mkuu wa Taifa letu, Dodoma. Akizungumzia hatua hiyo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana amesema wapo Viongozi...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Pesa za REA zianze kupelekwa kwenye gesi ya kupikia ili vijijini nao waanze kutumia gesi badala ya kuni na mkaa. Inawezekanaje? PESA za REA zielekezwe kwenye ruzuku ya gesi. Takwimu zinasema...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom