Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewata wajumbe wa Mkutano Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro kuchagua watu sahihi wanaokubalika na wananchi. Aidha, amewataka kuepukana na...
2 Reactions
5 Replies
835 Views
#NUKUU YA WIKI KUTOKA KWA MAKAMU MWENYEWE WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA. "WanaCCM wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama chetu. Kila mwanaCCM ana nafasi, haki ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho. Advertisement Dar es...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mbeya. Kutokana na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchini, Makamu Mwenyekiti was Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana amesema Chama hicho kimejipanga kufanya kikao mwezi ujao kujadili...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
[ ] " Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP), Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa...
9 Reactions
16 Replies
1K Views
Albert Chalamila alitemwa na Rais Samia wakakata viuno kwamba sukuma gang imekomeshwa, na sasa karudishwa tena wanakata mauno mengine kwamba Ally Hapi katolewa Sukuma gang wamekomeshwa! Kwa hiyo...
2 Reactions
4 Replies
814 Views
Hongereni sana Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na Wakuu wa Mikoa 7 mliohamishwa vituo vyenu vya kazi kutoka katika mikoa ambayo awali mliokuwa mkihudumu. Pongezi hizi zina maana kubwa kwenu kwa kuwa Wakuu...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Wanabodi, Wote tume shuhudia mabadiliko yaliyofanywa na serikali kwenye nyadhifa za wakuu wa mikoa hivi karibuni. Naamini kwa kiasi kikubwa kwamba maamuzi ya serikali mara nyingi huwa yame...
1 Reactions
0 Replies
510 Views
Mawazo mengine yanaudhi kabisa; yanaumiza, yanachekesha, yanasikitisha na wakati mwingine yanatia huruma - vyote kwa wakati mmoja. Tulizoea sana mtu akipata uteuzi tunasema "kaula". Ukisikia mtu...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Philosophical arguments za kitabu cha Plato ‘the republic’ kimechangia sana civil services duniani kutengeneza watu sahihi na umuhimu wao kwenye kuongoza nchi indirectly. Tanzania inafuata hizo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Pasco ni moja ya watu wanaotarajiwa kutoa mchango mkubwa kwenye siasa za Tanzania kwenye miaka ya mbele. Hii ni kutokana na kipaji kukubwa alicho nacho, uwezo mzuri wa kufiki, kujenga na...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Profesa Idris Kikula amekiri kuwapo kwa suala la udini chuoni hapo. Akizungumza na Tanzania Daima jana kuhusiana na malalamiko ya suala hilo...
4 Reactions
163 Replies
29K Views
Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Kumekuwa na Safari kadhaa kwa watawala na wakuu wa vikosi vya ulinzi katika nchi za afrika mashariki na Kati kwenda Rwanda. Ziara hizo bila ya shaka huwa zinabeba ajenda nyingi. Ama kwanini...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Wasiokuwa na upepo mzuri kwa kiongozi mkuu wote watasafishwa. Kuna mkakati mkubwa na wenye nia ya kuhakikisha watanzania wanapata tabu ya kuumizwa baadq ya mwaka 2025. Ni wazi kuwa watanzania...
1 Reactions
6 Replies
902 Views
Haya ni baadhi ya maoni yaliyokusanywa na Mtandao wa Facebook wa Gazeti la Mwananchi leo Julai 19,2022 kuhusiana na mpango wa Waziri Januari Makamba kugawa majiko ya gesi mikoa ya Kanda ya Ziwa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Kazi Prof Ndalichako amesema Serikali inaandaa sheria ya kuwakata moja kwa moja Waajiri michango ya watumishi wao. Ndalichako amesema Wastaafu wengi hawajalipwa Mafao yao tangu 2018 kwa...
0 Reactions
3 Replies
720 Views
TUCTA kama wapo serious hivi. Wakishindwa kuongeza tunaandamana. --- Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limeeleza kutoridhishwa na nyongeza ya mshahara huku wakieleza tofauti kubwa ya...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom