Akiongea katika kipindi cha Malumbano ya Hoja ITV kilichodhaminiwa na Chama cha Wanasheria, mzee Ngowi amesema ni vema Katiba mpya ikapigiwa kura sasa.
Ngowi amemuomba Rais Samia kuachana na...
Najua mtanipinga, lakini tusaidiane kuelewa kidogo. Kwanza asieshukuru kwa kidogo hawezi kuwa na shukrani kwa makubwa. Watumishi tulkua na matarajio makubwa sana juu ya 23%, lakini imetokea...
Toka January Makamba achaguliwe na Mh Rais mwaka jana kuwa Waziri wenye dhamana ya Nishati kumekuwa na mijadala ya hovyo dhidi yake...
Wizara ya Nishati kwa miaka nenda rudi imekuwa ni wizara...
Serukamba, Hawa Ghasia, Vicky Kamata, Dr. Kafumu, Adadi Rajabu na Andrew Chenge, hawa wote walikuwa wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge 2015-2020 (isipokuwa Vicky yeye alikuwa makamu...
Katibu mkuu wa CCM pamoja na Mwenezi ni baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ambao tuseme tu ukweli walipaswa kuwa viongozi wa Jimbo au Wilaya lakini siyo viongozi wa Kitaifa. Tukumbuke Mwenyekiti...
Mhe rais kumeibuka kwa malalamiko kutoka kwa watumishi wa umma wa kanda ya ziwa hususan kwa mikoa iliyopo pembezoni mwa nchi jirani na ile iliyopo karibu na Geita kuwa wakuu wa mikoa hao ni wababe...
Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika amesema suala la Mikutano ya hadhara ya siasa halina haja ya kusubiri Katiba mpya iruhusiwe sasa
Mnyika amesema hakuna nchi duniani yenye mambo kama haya ya...
Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN anatumia mfumo wa 'Contrarian approach' kwenye teuzi ambao kisiasa unawapa fursa Viongozi wa juu kufanya uamuzi ambao hautarajiwi na wananchi walio wengi, Mfumo huu...
Naomba kutoa Rai kwa serikali!
"Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out!
Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU
Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI...
Habari ndugu wanajukwaa..
Kiukweli inashangaza kwamba Leo tarehe 25 July ni Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa wa Nchi hii lakini hakuna hata mtu anaefahamu zaidi ya kuwaona Viongozi wa Serikali...
Habari wana JF, Toka siasa za vyama vingi zianze kumekuwa kumekuwa na hama hama sana ya vyama ,wengine wanahama kutokana na migogoro kwenye vyama vyao wengine wanadai wanaunga juhudi za Chama...
1.Taaharuki na kushusha morali ya kufanya kazi kwa watumishi wa umma baada ya ongezeko kiduchu ya mishahara
2.Kumchonganisha Mh Rais na watumishi wa umma kuhusu ongezeko la mshahara.
3.Ofisi ya...
Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuwaondoa tisa, leo Alhamisi Julai 28, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amemshukuru mkuu huyo...
Kwa kifupi sana
Mh Kafulila, Mh Happi, Mh Gabriel na Mh Brigedia wote OUT
Mh Rose na Mh Batilda Kazi Inaendelea
Niwatakie kila la kheri wale waliotoka.na hawa waliobaki
Tumshukuru Mungu...
1. Mwanasheria mkuu wa serikali anasema anatambua watu 85 tu katika kumbukumbu ya Tanroad waliopewa notisi ya kubomoa majengo ndani ya hifadhi ya barabara.
2. Mwanasheria mkuu anadai Zoezi la...
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu...
Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza...
Rais wa TUCTA mh Nyamhokya amesema wa.ewasilisha mapendekezo yao ya Mishahara serikalini kwa maandishi
Nyamhokya amesema wamependekeza wenye mishahara mikubwa waongezwe 15% na wale wa Kima Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.