Jinsi Pasco atakavyobadili siasa za Tanzania

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,172
7,428
Pasco ni moja ya watu wanaotarajiwa kutoa mchango mkubwa kwenye siasa za Tanzania kwenye miaka ya mbele. Hii ni kutokana na kipaji kukubwa alicho nacho, uwezo mzuri wa kufiki, kujenga na kuchambua hoja mbalimbali.

Hata hivyo kwa siku za karibuni ameanza kuathiriwa na mazingira na anaanza kuvutiwa na ulimwengu wa ushabiki, kulaumu na kulamika mradi siku ziende.

Ushauri kwa Bwana Pasco, Wewe ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana. Usijidharu hata kidogo. Una kipaji kikubwa sana ndani yako ijapokuwa unaonekana umeaanza kujidharau wewe mwenyewe siku hizi na kujiona kama sio mtu wa muhimu na mwenye mchango muhimu .

Upo uwezekano mkubwa sana kwamba wewe ndie utakuwa Rais wa Jamuhuri mwaka 2035. Inawezekana wewe mwenyewe nafsi inaanza kukataa lakini ndio hivyo na dalili zinaendelea kuonesha hivyo.

Hili linaweza kukustua lakini usistuke sana bali jiandae. Usijidharau, jifunze zaidi,hakikisha unakuwa na mchango positive kwa jamii kuanzia sasa kwa kiwango chako cha juu kabisa cha kufikiri. Fanya vitu vinavyoimarisha uwezo wako wa kufikiri na kusaidia watu wengine kujifunza au kupata vitu flani flani na usikubali kuingia kwenye ulimwengu wa ushabiki.

Hii itakusaidia kuwa mtu bora zaidi muda wako utakapofika Ukumbuke kuwa mara njingi kwa kadiri umri unavyoenda,ndivyo uwezo wa kufikiri wa mtu unapungua kutokana na presha ya mazingira, na ku "manage" hali hiyo inabidi kufanya kitu cha ziada kidogo.

Wadau, msimchukulie huyu mtu kwa mzaha, Huyu ambaye leo tuko naye hapa Jf , ndie Rais mtarajiwa 2035 ambaye tutakuwa tukitumia muda wetu mwingi kumlaumu hapa hapa. Ni bora kutumia muda huu ambao yuko kwenye control yetu kumjenga na kumnidhamisha kuwa mtu bora kuliko tusubiri muda ukifika tuanze kumlaumu wakati tulipokuwa na nafasi ya kum “Shape” hatukufanya kitu.

Tusitumie muda mwingi kujadili na kufikiria ambayo yameshatokea maana hayo katika ubora wake au udhaifu wake yashatokea . Tutumie muda mwingi kufikiria itakavyokuwa mbeleni. Viongozi wa kesho au miaka kadhaa ijayo ni watu ambao tuko nao sasa humu. Tujiulize tunafanya nini ili kujihakikishia kuwa muda wao wa kushika madaraka utakapofika watakuwa watu wa maana na na si watu wa hatari?

Tunaweza kufikiri kuna watu wako mahali wanatakiwa kuwajibika kumbe wewe ulioko hapa ndio unapaswa kuwajibika na kuwajibika kwako au kutokuwajibika matokeo yake utayaona miaka si mingi sana ijayo
 
Fast foward 2036: Mh Rais Dr Paschal Mayala, C in C, Mwenyekiti wa Chama.
 
Ngoja aje Pasco maana sifa ulizompa sina uhakika km ni yule aliyeitwa Bungeni na Spika kwa ajili ya kuweka Mada ya Udhaifu wa ...........
Tangu atoke huko na siasa kaacha,
basi hata atueleze kama walipewa chai wanaoitwa
hizi Sheria za Mitandao jamani
 
Vyoootee nimekubali ila hapo kwenye urais wee ndo umeootea kabisa sidhani kama unaweza kurudi tena huko ulikopotelea..
Kwanza ushajiandikisha?
 
Sifa zote ulizomoa anazo na zaidi, hata mie namfuatilia sana.

Ila siku hizi ameanza kuonyesha hisia za kuwamba ngozi kwa kuvutia upande mmoja sana, mtu kama yeye anatakiwa kuwa neutral. We need people like to be unbiased and to speak the truth as he sees in actual. Analysis lazima ziwe zake binafsi hata kama zitaniunga mkono ama kunisaidi mimi.

He is very good and focused
 
Unajua ww Azizi huwa unaongea kama mtu mwenye Busara lakini ndani ya busara yako kuna ujinga fulani. Nadhani ni mtu uliyesoma sana dini kiasi kwamba unajichanganya kwenye mada zako. Sasa hii mada unampamba Paskali ili iwe nini kama sio unamchora tu?unasema Paskal atakuwa rais wa nchi hii 2035, sasa hivi ana miaka 50+, hiyo 2035 atakuwa karibu 70, sasa umri huo bado atakuwa na jipya? Acha wendawazimu wako. Halafu hii mada sio ya jukwaa la siasa pls, ww Ni mzoefu wa hili jukwaa do the needful.
 
Back
Top Bottom