CHADEMA ni watu wa kuonea huruma tu

CHADEMA ni watu wa kuonea huruma tu

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,142
Reaction score
20,403
Albert Chalamila alitemwa na Rais Samia wakakata viuno kwamba sukuma gang imekomeshwa, na sasa karudishwa tena wanakata mauno mengine kwamba Ally Hapi katolewa Sukuma gang wamekomeshwa! Kwa hiyo siku Ally Hapi akiteuliwa tens watakata mauono mengine kwamba sukuma gang inarudi?

Yani mpaka hapo hawana akili ya kwamba ccm vyeo wanazungushana wao kwa wao tena kwa zamu?

Wasingekuwa wamejaza mavi kichwani wangehoji kilichomtoa Chalamila Mwanza ni kitu gani sasa kimemrudisha kitu gan?
 
Propaganda ya CHADEMA na msamiati wa sukumagang umegonga mwamba, CCM wanagawana tu vyeo.
 
Hii nchi ngumu sana yaani wewe mtoa post kutwa CHADEMA tu au Mbowe huwa huna kingine Cha kupost??
 
Hii nchi ngumu sana yaani wewe mtoa post kutwa CHADEMA tu au Mbowe huwa huna kingine Cha kupost??
Huyo ana ubia na moderators katika hii project yake ya kuichafua Chadema na viongozi wake. Hata kwenye mada ambayo haihusu Chadema au viongozi wake lazima achomekee post ya kumtukana Lissu na Mbowe na Chadema yote.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom