Kinana aeleza ugumu uliopo kwa vijana kupenya kwenye uongozi ndani ya CCM.

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.
Advertisement
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.
Amesema makundi hayo mawili yanapojitokeza kugombea yapewe nafasi huku akieleza ugumu uliopo kwa vijana kupenya kwenye uongozi ndani ya chama hicho.
Kinana amesema hayo leo Jumapili Aprili 10, 2022 katika hafla ya kupokewa na chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam inayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
kinana pic2

Amesema kuwa wakati Chama hicho kinapoelekea kwenye uchaguzi wa ndani wana CCM wajitokeze kwa kuwa kila mwanachama ana haki ya kugombea.
“Nichukue nafasi hii kuwahimiza makundi mawili makubwa, kundi la kwanza vijana, gombeeni nafasi kwenye chama na inapowezekana wapeni nafasi kwa sababu wakati mwingine nayo kupenya inakuwa vigumu kwa vijana, kweli si kweli?” amesema Kinana
“Kundi la pili akinamama tunataka kuona akinamama wengi kwenye nafasi za uongozi kwenye nchi yetu, jitokezeni tutawapeni nafasi za ushindi” amesema
Kinana amesema baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo ya makamu mwenyekiti atafanya kazi kwa nguvu na uadilifu.
“Nataka niwahakikishie kuwa nitafanya kazi kwa nguvu, kwa bidii, uadilifu na nikitanguliza utumishi na sio utukufu” ameahidi Kinana ambaye ashawahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho.
Amewasihi viongozi wengine wa chama kufanya kazi kwa bidii na kuacha kujitukuza
“Niwaombe viongozi wenzangu, kuchaguliwa na kupewa nafasi ya uongozi ni utumishi wa umma, ukifanya kazi vizuri watakutukuza, usijitukuze mwenyewe''.
Makamu huyo wa CCM amesema baada ya kuzoea majukumu ya nafasi hiyo ataanza ziara katika mikoa minne na baada ya kumaliza ziara hiyo atafanya nyingine kwenye mikoa saba.
“Baada ya kukaa ofisini na kuizoea umakamu mwenyekiti, nitafanya ziara Pwani, Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Baada ya kumaliza mikoa hii minne, nitaanza ziara ya mikoa saba kwa mpigo. Lazima chama chetu kiwe imara na tusipokuwa na chama imara Taifa letu litayumba” amesema

Source:Mwananchi
 
Kwa kuwa Sgang wakiamua kubagua wengine na kubebana wenyewe Kwa wenyewe 🤔
 
Tatizo hilo.la kuweka ugumu linasababishwa na mambo mengi

1.Wazee Hawako tayari kuachia vijana kwa kisingizio cha uzoefu wanasahau kuwa kazi mojawapo ya mzee ni kuandaa vijana wa ku take over na wawe tayari kuondoka mapema wabaki washauri pembeni

2.wazaee wengi wa juu wanaandaa watoto wao tu sio vijana kitaifa kama vijana.Kama Nyerere alivyofanya kuandaa vijana toka makabila yote kama akina Kinana msomali'Lowasa mmasai 'Lukuvi muhehe'Mzee Mangula Mbena'Seif Shariff Hamad mpemba' Kikwete Mkwere'Makamba makamba nk Sasa hivi kila kigogo anapigania mwanae kum groom!!!

Alichukua vijana bright kila kona ya nchi watoto wa watu wasio na majina

Sasa hivi kuna shida

3.Ni hizo kamati za kuchuja na kuteua wagombea zina wazee wanaotaka wazee wenzao hata kijana awe competent vipi hapenyi.Tumpe babu au bibi mwenzetu

4.Rushwa.Wazee wengi wanakua walishajijenga kipesa kuliko vijana hivyo kupenyeza pesa kwa wajumbe apite yeye

5.Wazee kukumbatia juzi kama uchawi bila kuwapa vijana ili wao maendeleo kuonekana ndio wanajua peke yao.Hawa pass knowledge yao kwa vijana .Hivyo kusababisha vijana waonekane hawajui kiti .Watajuaje wakati ujuaji wote wazee wanashikilia wachoyo.kuwapa vijana?

6.Ni wazee kuwa na mtazamo hasi kwa vijana walionao wazee .Wanaona kama vijana hawana uwezo wa kuaminiwa.

Hayo ni baadhi mimi nayaona
 
Mpango wa kwanza ni kupanga ziara!! Ni mpango wa kuingiza posho kibindoni Kila siku!! Maslahi binafsi kwanza!! Ziara mikoa minne mfululizo, Kisha mikoa Saba mfululizo, hapo posho atakayoingiza si ya KITOTO!! Huyo ndiyo NGULI mzoefu ndani ya chama!! Keshanusa ulaji, keshaziona pesa zimekaa kihasara hasara hapo chamani!! (Kila mwezi mamilioni ya ruzuku yanaingia) Lazima zitengenezewe uhalali wa KUZILA! Mzee Mang'ula ni COMRED wa ukweli na mwaminifu Sana!! Wenye sifa hiyo ni kikwazo kwa WALAJI!! Wenye tuhuma ya UJANGILI ndiyo Mali kwa Sasa (kwa mtazamo wangu, kwa Yale tunayoyaona!).
 
Namnukuu: "Lazima chama kiwe imara, chama kisipokuwa imara Taifa litayumba". Body language wakati anasema chama lazima kiwe imara, hapo mkono wa kulia unakuwa unapiga piga tumbo!! Hapo utajua chama kinachotakiwa kuimarishwa ni tumbo!!
 
Namnukuu: "Lazima chama kiwe imara, chama kisipokuwa imara Taifa litayumba". !
Population kubwa ya wapiga kura ni vijana

Kutokana na ugumu kwa vijana kupenya.kwenye uongozi CCM ndio maana wengi walitimukia 2015 Chadema na CUF kwa Maalim Seif ambako ilikuwa rahisi kupenya na kwenye kupiga kura vijana walikuwa wengi kuliko kundi lolote ule uchaguzi
 
Tatizo hilo.la kuweka ugumu linasababishwa na mambo mengi

1.Wazee Hawako tayari kuachia vijana kwa kisingizio cha uzoefu wanasahau kuwa kazi mojawapo ya mzee ni kuandaa vijana wa ku take over na wawe tayari kuondoka mapema wabaki washauri pembeni

2.wazaee wengi wa juu wanaandaa watoto wao tu sio vijana kitaifa kama vijana.Kama Nyerere alivyofanya kuandaa vijana toka makabila yote kama akina Kinana msomali'Lowasa mmasai 'Lukuvi muhehe'Mzee Mangula Mbena'Seif Shariff Hamad mpemba' Kikwete Mkwere'Makamba makamba nk Sasa hivi kila kigogo anapigania mwanae kum groom!!!

Alichichukua vijana bright kila kona ya ya nchi watoto wa watu wasio na majina

Sasa hivi kuna shida

3.Ni hizo kamati za kuchuja na kuteua wagombea zina wazee wanaotaka wazee wenzao hata kijana awe competent vipi hapenyi.Tumpe babu au bibi mwenzetu

4.Rushwa.Wazee wengi wanakua walishajijenga kipesa kuliko vijana hivyo kupenyeza pesa kwa wajumbe apite yeye

5.Wazee kukumbatia juzi kama uchawi bila kuwapa vijana ili wao maendeleo kuonekana ndio wanajua peke yao.Hawa pass knowledge yao kwa vijana .Hivyo kusababisha vijana waonekane hawajui kiti .Watajuaje wakati ujuaji wote wazee wanashikilia wachoyo.kuwapa vijana?

6.Ni wazee kuwa na mtazamo hasi kwa vijana walionao wazee .Wanaona kama vijana hawana uwezo wa kuaminiwa.

Hayo ni baadhi mimi nayaona
Huo ndio uozo wa wanachukua chako mapema (ccm) rafiki zako ambao umekuwa ukiwatetea na kuwaimbia mapambio ya sifa badala yakuusema uovu wao wajirekebishe 🏃
 
Wapi kusiko na uozo kwa mfano ? Chama kipi? uozo unatofautiana kwa kiwango ila CCM kuna unafuu kidogo ndio maana niko CCM
 
Kutokuwa wakweli kama unayojaribu kutudanganya hapa ndio kikwazo Cha maendeleo yetu na ya taifa letu.🤔
 
Ukweli unaongea wapi ndani ya vyama vyetu ?

Mfano ukitaka kuwa mkweli kwa nafasi yako unataka kugombea uenyekiti wa taifa Chadema kama katiba inavyoruhusu .Unatangaziwa vita na kuambiwa sumu haionjwi jaribu uone!! Utakiona cha mtema kuni!! Huwezi shindana na Mbowe.Ondoka huko
 
Tatizo hilo.la kuweka ugumu linasababishwa na mambo mengi

1.Wazee Hawako tayari kuachia vijana kwa kisingizio cha uzoefu wanasahau kuwa kazi mojawapo ya mzee ni kuandaa vijana wa ku take over na wawe tayari kuondoka mapema wabaki washauri pembeni

2.wazaee wengi wa juu wanaandaa watoto wao tu sio vijana kitaifa kama vijana.Kama Nyerere alivyofanya kuandaa vijana toka makabila yote kama akina Kinana msomali'Lowasa mmasai 'Lukuvi muhehe'Mzee Mangula Mbena'Seif Shariff Hamad mpemba' Kikwete Mkwere'Makamba makamba nk Sasa hivi kila kigogo anapigania mwanae kum groom!!!

Alichukua vijana bright kila kona ya nchi watoto wa watu wasio na majina

Sasa hivi kuna shida

3.Ni hizo kamati za kuchuja na kuteua wagombea zina wazee wanaotaka wazee wenzao hata kijana awe competent vipi hapenyi.Tumpe babu au bibi mwenzetu

4.Rushwa.Wazee wengi wanakua walishajijenga kipesa kuliko vijana hivyo kupenyeza pesa kwa wajumbe apite yeye

5.Wazee kukumbatia juzi kama uchawi bila kuwapa vijana ili wao maendeleo kuonekana ndio wanajua peke yao.Hawa pass knowledge yao kwa vijana .Hivyo kusababisha vijana waonekane hawajui kiti .Watajuaje wakati ujuaji wote wazee wanashikilia wachoyo.kuwapa vijana?

6.Ni wazee kuwa na mtazamo hasi kwa vijana walionao wazee .Wanaona kama vijana hawana uwezo wa kuaminiwa.

Hayo ni baadhi mimi nayaona
Vijana wenyewe majambazi dizaini ya Sabaya na makonda,Bora wazee tuendelee kuwaongoza tu
 
Tatizo la ccm ni kutokuwa na vijana;
1. Wenye weledi wa kupambanua mambo (wao ni kusifia na kuunga mkono hata ujinga)
2. Kutokuwa na vijana wenye uwezo wa kujenga hoja bora na zenye tija na kuzipambania
3. Wenye ajira zao (waliojiajiri/kuajiriwa) na badala yake vijana wengi wa ccm ni wavivu na wenye kupenda kuombaomba badala ya kufanya kazi.
 
Ukweli unaongea wapi ndani ya vyama vyetu ?

Mfano ukitaka kuwa mkweli kwa nafasi yako unataka kugombea uenyekiti wa taifa Chadema kama katiba inavyoruhusu .Unatangaziwa vita na kuambiwa sumu haionjwi jaribu uone!! Utakiona cha mtema kuni!! Huwezi shindana na Mbowe.Ondoka huko
Njoo na wewe ugombee ,usikubali kudanganywa
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.
Advertisement
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahmani Kinana amewataka vijana na wanawake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho.
Amesema makundi hayo mawili yanapojitokeza kugombea yapewe nafasi huku akieleza ugumu uliopo kwa vijana kupenya kwenye uongozi ndani ya chama hicho.
Kinana amesema hayo leo Jumapili Aprili 10, 2022 katika hafla ya kupokewa na chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam inayofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
kinana pic2

Amesema kuwa wakati Chama hicho kinapoelekea kwenye uchaguzi wa ndani wana CCM wajitokeze kwa kuwa kila mwanachama ana haki ya kugombea.
“Nichukue nafasi hii kuwahimiza makundi mawili makubwa, kundi la kwanza vijana, gombeeni nafasi kwenye chama na inapowezekana wapeni nafasi kwa sababu wakati mwingine nayo kupenya inakuwa vigumu kwa vijana, kweli si kweli?” amesema Kinana
“Kundi la pili akinamama tunataka kuona akinamama wengi kwenye nafasi za uongozi kwenye nchi yetu, jitokezeni tutawapeni nafasi za ushindi” amesema
Kinana amesema baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo ya makamu mwenyekiti atafanya kazi kwa nguvu na uadilifu.
“Nataka niwahakikishie kuwa nitafanya kazi kwa nguvu, kwa bidii, uadilifu na nikitanguliza utumishi na sio utukufu” ameahidi Kinana ambaye ashawahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho.
Amewasihi viongozi wengine wa chama kufanya kazi kwa bidii na kuacha kujitukuza
“Niwaombe viongozi wenzangu, kuchaguliwa na kupewa nafasi ya uongozi ni utumishi wa umma, ukifanya kazi vizuri watakutukuza, usijitukuze mwenyewe''.
Makamu huyo wa CCM amesema baada ya kuzoea majukumu ya nafasi hiyo ataanza ziara katika mikoa minne na baada ya kumaliza ziara hiyo atafanya nyingine kwenye mikoa saba.
“Baada ya kukaa ofisini na kuizoea umakamu mwenyekiti, nitafanya ziara Pwani, Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Baada ya kumaliza mikoa hii minne, nitaanza ziara ya mikoa saba kwa mpigo. Lazima chama chetu kiwe imara na tusipokuwa na chama imara Taifa letu litayumba” amesema

Source:Mwananchi
Vijana wa ccm wao wabaki kuwa machawa tu.

Ndio maana hata Jpm akitaka kuteua vijana alikuwa anakuja Chadema.

Huko ccm kuna vijana wasiojielewa.
 
Mizania ya ushindani huko haipo fair.

Akatokea kijana mwenye uwezo dhidi ya mtoto wa mwenye chama lazima tu utaegema kwa mtoto mwenye chama.

Sifa ya kuwa na uwezo haipo kabisa.

Bali una nini , wewe jina lako la mwisho lipi au unamjua nani?
 
Back
Top Bottom