Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi.
Swali: je...
Wiki iliyopita Jumanne Julai 26, 2022 kulifanyika uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Mijelejele Wilayani Masasi ambako Juma Polle ni Diwani wa Kata hiyo ya Mijelejele. Juma Polle...
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ.
2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?)
3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje...
Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta...
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao...
Rais Samia amesema Katiba ya JMT imempa mamlaka Rais wa JMT kuigawa nchi katika maeneo ya kiutawala na kuteuwa Wawakilishi watakaomsaidia kazi katika maeneo hayo.
Kimsingi Rais hana rafiki hivyo...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuapisha viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Mikoa katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Agosti Mosi, 2022. Ratiba inatarajiwa kuanza saa 10:30 Jioni.
====...
Habari za jioni wana JF wenzangu.
Mtakumbuka kwamba kulikuwa na mada moto moto katika Bunge lililopita, ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa...
Tarehe 12 mwezi Aprili mwaka 2012 ukiwa usiku wa manene mithili ya mwizi anayevamia nyumba fulani ili kutimiza hadhima yake, hakika ilikuwa ni siku mbaya iliyoleta machungu makubwa sana kwa...
Haya ni baadhi ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan;
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi sana likiwemo lile la elimu bure kutoka primary mpaka advance pia...
Mh. Waziri TAMISEMI inakero zaidi ya asilimia 70.
Kwa kifupi sana na kwa maneno machache sana, Idara/vitengo huku chini kuna matatizo ya uonevu, unyanyasaji, kudharauliana, kuminyana, kuzibana...
Moja kwa moja kwenye mada.
Kila mtu ni mhanga wa ughali wa gharama za matibabu,tumeshuhudia jamii zikipata mgonjwa wa mda mrefu zinavyofirisika kwa kuuza kila mali yao Ili kugharamia matibabu ya...
Ufafanuzi wa kina uliotolewa na Waziri Mkuu kuhusu nyongeza ya Mishahara ya asilimia 23.3 na mambo yaliyofanywa mpaka sasa na Rais Samia kwa watumishi wa umma;
1. Nyongeza ya mshahara kwa...
Comrade Kinana amepasua jipu.
Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama.
Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Lengo la serikali ni kuwainua Wakulima na siyo kuwatia umasikini.
Hivyo serikali haitafunga mipaka na kuwazuia Wakulima kuuza mazao nje ya nchi bali...
Kwa namna ya hili sakata la Hawa wanaojiita wabunge wa viti maalum, kupitia chama kilichowavua uanachama wao cha Chadema na namna Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson, anavyojaribu kuendelea...
Wakili Peter Kibatala amesema atawahitaji aliyekuwa spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai na aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt. Charles Mahera ili wahojiwe kuhusu wabunge 19 walioapishwa kwa...
Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa...
Tarehe 16 Mwezi August mwaka 2012 palitokea mauaji ya wachimba madini 34 huko Jimbo la wonderkop kaskazini magharibi mwa Afrika Kusini.
Polisi walitumia nguvu kubwa kuwazuia waandanamaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.