Sisi wenye vigezo stahiki tumefanyiwa maagizo ya usaili hapa kata ya kivule wilaya ya Ilala na kufutiliwa mbali wakati namba 174. Yusuph Nyansika Getema (mtoto wa Diwani kata ya kivule) mwenye...
Serikali ya kizalendo kama hii ya CCM inayoongozwa na Rais Samia muda wote iko kazini " hakuna kulala"
Nimpongeze tu mh Rais Samia kwa kumtumikia usiku na mchana
Pia niwape angalizo Wasaidizi...
Ahh nawasalimu,
Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'.
Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia...
Nakumbuka Baba wa Taifa Mwal. Nyerere, miaka ya 70, Wabunge walitaka kujiongezea mishahara.
Akauliza “Nchi hii masikini, mnaotaka wawape mishahara mikubwa ni wananchi masikini, watatoa wapi...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize
Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana...
[emoji1241]
Suala la balance baina ya jeshi, Serikali na Siasa ni kitendawili kwa mataifa mengi duniani na kwa Tanzania pia. Nchi yetu haifuati yeyote kati ya modeli tatu maarufu dunian na badala...
Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya...
Serikali imepanga kuzalisha zaidi ya ng’ombe 300,000 kwa njia ya uhawilishaji ili kuongeza ubora wa mifugo na tija kwenye uzalishaji pamoja na kupunguza migogoro ya ardhi baina ya wakulima na...
I mean, WTF!!!
Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana.
Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini?
Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200.
Not...
Kwenye Katiba ya CCM, ibara ya 88 (1)(d), inasema hivi, nanukuu "MKUU WA MKOA WA SERIKALI INAYOTOKANA NA CCM NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM YA MKOA ALIOPO" , mwisho wa kunukuu.
Maana yake ni...
Mbiiu la mgambo lishaliaa.
Tarumbeta la parapanda lishalia..
Je watanzania tupo kuingia chaka kwa mara nyingine tena? Hapa naongelea tuwe wapambe wa masuperpower wapi wale wa west au wale wa...
Kwa mantiki ile ile kuna baadhi ya Wilaya hadi tulijiuliza hivi kuna Wajasiriamali wengi kiasi hicho?!
Unasikia tu vimeletwa Vitambulisho laki 2 hapa wilayani na vimeisha vyote lakini ukiangalia...
Asichukuliwe poa kwani kitendo alichofanya ndugu Chalamila kina kila dalili zote kuwa sio cha bahati mbaya na hayuko peke yake.
Maongezi yake ukiyasikikiza vizuri yana kila dalili kuwa...
Hotuba iliyotolewa na Mh. Rais wakati wa kuwaapisha viongozi mapema siku ya jana ni muendelezo wa kasi yake katika kuhimiza utendaji wenye tija kwa watumishi wa umma. Baadhi ya mambo yanayohimizwa...
Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya...
Kama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania.
Kwa...
Nimeamini kuwa chama ndiyo kinashika hatamu hapa nchini.
Kufuatia ushauri wa Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Kinana kwa Polisi kupunguza idadi ya Askari wa Traffic barabarani.
Leo hii Polisi...
Samahani lakini nyie bavicha
Lengo la bandiko Hili ni kuwataka Vijana wote wawe wazalendo na wasimamie kweli badala ya kutumika kama vuvuzela za Wanasiasa uchwara
Mungu wa mbinguni awapeni Ujasiri
Hawa ni miongoni mwa Mawaziri wachapakazi na muda wote wanaonekana site kutatua changomoto za zinazowakabili wananchi na kusimamamia miradi inayotekelezwa chini ya Wizara zao.
Waziri wa Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.