Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"ALEXANDER MNYETI" sio jina geni katika siasa ya Tanzania. Wengi wanakumbuka ugomvi wake mkubwa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha wakati akiwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambapo chanzo...
10 Reactions
72 Replies
9K Views
Serikali imetangaza kununua umeme kwa wawekezaji Chanzo: ITV Tanzania/ facebook -------- Waziri wa Nishati, January Makamba na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wametumia jukwaa moja kutoa majibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hotuba fupi aliyoitoa Waziri Mkuu Edward Lowassa katika bunge mjini Dodoma (Alhamisi Feb. 7, 2008) wakati wa mjadala wa taarifa ya kamati teule ya bunge iliyochunguza mchakato wa Zabuni ya...
3 Reactions
22 Replies
20K Views
Na Chacha Wangwe Jr Ujio wa Rais wa Zambia nchini Mh.Hakainde Hichelema ni muendelezo wa uthibitisho wa kazi kubwa iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu katika kuhakikisha...
1 Reactions
6 Replies
740 Views
Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu. Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya namba moja kusema imekwisha wenye hekima waliona mbali nakujuwa kazi ipo mbele maana chuma kimelala. Wajuvi wamambo waka angalia mwendo wa dereva na aina yagari alikuwa akiendesha...
36 Reactions
127 Replies
11K Views
Uteuzi wa wamama hawa wawili unadhihirisha tatizo kubwa la Mamlaka ya Urais wa Kisultani hapa Tanzania. Miaka yote Marais wetu wamekuwa wakigawa nafasi za URC na UDC kwa marafiki , maswahiba na...
14 Reactions
49 Replies
8K Views
Wakuu tuendelee kuchapa Kazi.. Naomba kuuliza hivi kutamka maneno kama hayo inakuwa ni kuhofia kutumbuliwa au kuna kingine? Haya maneno yalikuwa yanatamkwa Sana kumpamba Jiwe sasa sijui kama na...
2 Reactions
7 Replies
706 Views
Hakika, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Ni ile kauli ya Mama Anaupiga Mwingi usidhani ni msemo tu, sasa hebu tazama jinsi Mama alivyoweka historia katika maslahi ya watumishi wa umma ndani ya...
12 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwa mwezi mzima napokea SMS 10 hadi 15 kwenye simu yangu kwa siku zinazosomeka hivi: " ndugu Shitunguru Bunzali Joseph Umefanikiwa kupata chanjo ya UVIKO- Janssen. Unaweza kuangalia cheti chako...
8 Reactions
31 Replies
4K Views
Gazeti la Raia Mwema limeripoti Kauli ya Rais wa Tanzania wakati wa Uapisho wa Wakuu wa Mikoa , na limenukuu kauli yake kwamba, Wakuu wa Mikoa ni mwanzo tu, Maana "KUNA MKEKA MWINGINE UNAKUJA HIVI...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Pesa za umma zinakaa kwenye akaunti muda mrefu watendaji wake hawajui pesa hizo zinatakiwa ziende kwenye miradi iliyokusudiwa ni kuwaza waziibe vipi ndiyo maana inafikia Wakuu wa Wilaya wanavutana...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Viongozi wa Umma tatueni kero halisia zinazokabili wananchi sio mpaka akina Kinana au Raisi wawaambie mumeajiriwa kutatua kero Ina maana huko maofisini kazi yenu nini kama sio kutatua na...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Mkiambiwa chama kipo kwa mwenye nacho mnajidai kuwa chawa mkumbukwe! Kwanza mjue kabisa Samia na kundi lake hawana mipango na nyinyi watu wenye nasaba na Magufuli iwe kwa maeneo mtokayo nk...
9 Reactions
97 Replies
12K Views
Ni pendekezo tu Putin ameifikisha dunia pabaya ni lazima sasa tuwe na taasisi imara inayoshughulikia Uchumi wa nchi Sabato njema
2 Reactions
41 Replies
2K Views
01 Agosti 2022 Rais kupunguziwa madaraka siyo inamfanya kuwa dhaifu bali inampa uimara. Uwiano mihimili ya dola: bunge, mahakama na serikali kuu / legislative, executive and judicial . Teuzi...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Tumeshaona viongozi wetu hasa wanaume vijana wanachelewa kukuwa sana. Utamaduni wa Tanzania unadekeza sana wanaume unakuta vijana wapo miaka ya 30’s hadi 40 lakini utoto mwingi. Swali: je...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Wiki iliyopita Jumanne Julai 26, 2022 kulifanyika uchaguzi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Kata ya Mijelejele Wilayani Masasi ambako Juma Polle ni Diwani wa Kata hiyo ya Mijelejele. Juma Polle...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Ni Meja Jenerali wa JWTZ. 2. Wakati Rais Magufuli anaapishwa mwaka jana alikuwa pembeni na full gear ya military uniform. (Je pale alikuwa Kama Nani?) 3.Ni Katibu Mkuu Wizara Ya Mambo Ya Nje...
7 Reactions
44 Replies
12K Views
Back
Top Bottom