Rashda Zunde
Senior Member
- May 28, 2022
- 199
- 231
Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta mabadiliko.
Aliweka pamba masikio na kusonga mbele juu ya kusimamia miradi mikubwa ya uwekezaji pamoja na ile ya Uviko-19 kwa lengo la kuhakikisha viwango vinapatikana na taifa linafaidika.
Sasa hivi jamii imepata kujionea kwa kiasi gani serikali imejikita kuleta mabadiliko ya kiuchumi, kinyume na yale yaliokuwa yakisemwa kwamba Rais Samia hatoweza kufanya kazi kwa ufanisi.
Kwa kweli licha ya changamoto za shutma na kauli zisokuwa na msingi juu ya uongozi wake, bado amesimama imara kuhakikisha anatekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Hivyo basi, wakati umefika jamii kuunga mkono juhudi za serikali kwani mama Samia Suluhu Hassan yupo kazini.