Ni swali ambalo linaweza kuwa na majibu ya ndio na sio kutokana na hali halisi.
Alipoingia tu madarakani 'kwa kudra' kama alivyojinasibu, alifanya mabbadiliko mengi kwa haraka na pengine kwa...
Wakazi wa Maghorofa ya Magomeni Kota maarufu kama Maghorofa ya Magufuli Leo wamekaribishwa rasmi kwa kutangazwa orodha ya Wapangaji wote
Wameambiwa pango wataanza kulipia baada ya kukaa Miaka 5...
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Leo Atafanya Ziara Wilayani Kisarawe Kuzindua Mradi Mkubwa Wa Maji. Ambao Utawanufaisha Wakazi Wa Kisarawe Hadi Maeneo Ya Ukonga, Pugu
Bila Shaka...
Nawasalimu wote..
Twende kwenye mada.Baada ya Bunge la Bajeti Kumalizika, Serikali iliwataka Mawaziri kuelezea wananchi nini kinatarajiwa kufanywa na kila Wizara ya kisekta katika mwaka ujao wa...
Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.
Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi...
Jambo Afande!!
Kwa muda mchache aliokaa jeshi la Magereza kama Mkuu wa Jeshi hilo, tumeona uchapakazi wake uliotukuka.
Kwasasa jeshi la magereza linaendeshwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna urasimu...
Unampa mwananchi mtungi wa gesi. Kesho kutwa hana hata pesa ya kujazia gasi huo mtungi ukiisha.
Kwa nini msikomae JNHP ikakamilika alafu umeme ukashuka bei na bidhaa kushuka bei na maisha...
Tuliweka Taarifa hapa kwamba sasa CHADEMA imeamua rasmi kuvurumisha elimu ya Uraia nchi nzima , kwa kufundisha Umuhimu wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi , nadhani moto uliowashwa mmeuona ...
Waziri wa Nishati, Makamba amempigia simu Waziri wa Kilimo kuhusiana na suala la tatizo la kilio kikubwa cha bei ya Mbolea akiwa kwenye mkutano wa wananchi Ludewa, inamaana Bashe hawezi kusimamia...
Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.
Rais Magufuli...
Tunahitaji watu wenye kumsaidia Rais wetu wafanye haya,
Huyu RC mwendo anaokwenda nao ingependeza sana kuona haya yakifanyika nchi nzima,
Msikilize mpaka mwisho,
Ninavyofahamu ni kwamba Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa ndio ilizuoliwa na Wizara ya mambo ya ndani kwa sababu za kiusalama.
Lakini Mikutano ya ndani inaruhusiwa na hata sasa Komredi Kinana na...
Wakati anaapishwa kuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliapa kuilinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyowekwa kwa mujibu wa sheria.
Pia wakati anakula kiapo cha...
Kama swali linavyouliza je traffic barabara wapo kwa ajili ya kukamua magari serious au wapo kwa ajili ya kukusanya mapato ya serikali na ya kwao. ? Tujadili hili kwa upana zaidi na hali halisi ya...
Mkurugenzi mkuu wa EWURA.mh Lumato amesema wako katika mchakato wa kuweka Bei kikomo ya Gesi asilia
Lumato amesema wanasisitiza Watu wabadili mifumo ya magari yao kutoka petrol kwenda Gesi...
Ukusanyaji wa mapato katika Bandari ya Dar es Salaam umekuwa ni changamoto tangu taifa letu lipate uhuru, tatizo hili limesababisha kufanyika mabadiliko ya wakurugenzi wa bandari (TPA) kila...
Ni baadhi ya maneno yaliyotamkwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa, mdogo wangu na Mwanasheria mwenzangu Ally Hapi. Alikuwa akielekea kutoa amri ya kukamatwa,kuwekwa ndani,kuhojiwa na kufikishwa...
Nimelipitia bandiko la Abdulrahman Kinana kwenye Gazeti la "The Hill" la nchini Marekani na kufikia hitimisho kuwa CCM inaamini kuwa Tanzania na hasa Zanzibar kuna makundi ya Kigaidi, Pili si...
Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.