Ni lazima tuelezane ukweli wote watanzania. Muda wa kupewa Peremende kama Watoto wadogo kama njia ya kunyamazishana ilhali mahitaji yetu ni makubwa hayavumiliki na yanachosha.Kama ni mambo ya...
Kipindi cha Kipima Joto ITV kinazungumza umuhimu wa Wananchi kuhesabiwa siku ya Sensa
Mshiriki wa kipindi hicho ndugu Maulanga ambaye ni Balozi wa amani alitoa Onyo kwamba raia wa kigeni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mbalimbali nchini.
Amesema anatambua matatizo...
Jitihada za kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata maji safi na salama chini ya Rais Samia Suluhu ni jitihada za kupongezwa sana kwani zimekuwa na muendelezo chanya tangu Rais Samia Suluhu aingie...
MHE. RAIS SAMIA ANAENDELEA NA ZIARA MKOANI MBEYA. LEO NI ZAMU YA CHUNYA, KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO.
Leo Jumamosi Agosti 06, 2022 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaingia siku ya Pili...
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.
Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji...
Moja kati ya mambo yanayofanya uongozi wa nchi yoyote upendwe ni jitihada za wazi za kustawisha maisha ya wananchi, kutatua kero zao na kutekeleza maono yenye dhamira njema na (1/4) maisha ya...
Mh rais Samia,sisi wana ccm tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI
Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao...
Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha...
Hivi ulishawahi kukaa na kujiuliza taifa la Tanzania lingelekea wapi bila ujio wa hayati Magufuli kama rais?
Hivi ulishawahi kujiuliza kama Magufuli angefariki kwenye mwaka wake wa kwanza wa...
Kupanda kwa bei ya mafuta nchini…
WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI
JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli Tanzania, Masanja Kadogosa leo Jumamosi amesema usafiri wa treni ya kisasa unatarajiwa kuanza kati ya Januari au Februari mwaka 2023 pindi watakapokuwa wamepewa...
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza na kumsifu Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuifungua Tanzania kitaifa na...
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya ccm licha ya mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni...
Mwenye post ya maneno au sauri au Video ya spika wa Bunge wa hizo chi wakisifia Maraisi wao anitumie nitampa pesa.
Nimetafuta sana nimekosa ila kama kuna alie nayo anitumie nitamlipa, ila za...
Comred Chongolo huu uchaguzi unakiharibu chama haraka sana. Vijana wasomi wengi sana walikiamini chama pamoja na viongozi wake wa juu. Vijana hawa waliomba nafasi kuanzia ngazi za tawi na kata...
Kiukweli ni vema Mikutano ya Kisasa ikaruhusiwa
Nimefurahishwa sana na mikutano ya Komredi Kinana huko mikoani , Chadema wamepoteana kabisa
Mungu ni mwema wakati wote,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.