Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJf, Salaam! Nauliza wafuatiliaji na wachambuzi wabobezi wa masuala ya utawala, uchumi na siasa JE ni kweli MAMA SAMIA kaupiga mwingi? (a). Tumpime kwa bei ya mafuta ya kula (cooking oil)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Japo mchakato wa katiba haujaanza lakini sio vibaya kuanza kujadili kwenye mitandao ya kijamii. Kwa upande wangu ningeambiwa nitaje vitu ambavyo vingewekwa kwenye katiba mpya mimi ningesema hivi:-...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka 1992 wakati Freeman anafanya scouting ya bavicha kigezo Kikuu Ilikuwa kupata vijana wanaojitambua, Wajanja na wenye fikra za Maendeleo Zoezi likaanzia vyuo vya mjini kabisa CBE...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Hata mimi kama Jabali la Siasa nakubaliana na Nape Nnauye kuwa Shaka Hamdu Shaka ni kiongozi mnyenyekevu sana. Shaka ana uchungu na Chama chetu cha Mapinduzi kwelikweli. Msikilize hapa Bwana...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Watumishi wa kima cha chini Mkoani Singida wamezungumzia nyongeza ya mishahara iliyotolewa na serikali ya awamu ya sita.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mitandaoni mapema leo , kwamba Mh Bwege ambaye ni miongoni mwa wabunge wa Tanzania waliopigania sana haki za Watu wa Kusini , ikiwemo Korosho na gesi , leo...
14 Reactions
32 Replies
4K Views
CHONGOLO AZIBANA WIZARA MBILI UPIMAJI WA ARDHI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ameitaka Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Ardhi kuweka malengo kwa kila Mkurugenzi...
1 Reactions
6 Replies
862 Views
Tanzania kama ilivyo baadhi ya mataifa, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Ngorongoro ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa zilizo katika maajabu saba ya dunia kwa kuwa...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Chadema ilianza kugombea Urais wa JMT. Mwaka 2005 kabla ya hapo waliokuwa wanamuumga mkono Prof. Lipumba wa CUF Kumbukumbu za Chadema zinaonyesha 2010 Dr Slaa alifanikiwa kuingiza Jumla ya...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari Wana JF, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila Amesema alikuwa likizo tuu kama Injini ya gari lililoharibika.. Kuharibika kwa Board haimaanishi Injini ni mbovu.👇 === MKUU wa Mkoa wa...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Semina zinazoendeshwa nchi mzima Kwa makarani wa sensa, zingeweza kupangwa vizuri tungeokoa pesa nyingi za umma na kuzielekeza kwenye maeneo mengine. Mfano kulikuwa na ubaya gani kama wajumbe wa...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
CHONGOLO APIGA MARUFUKU KUPITISHWA KWA MIRADI YA MAENDELEO BILA USHIRIKI WA MABALOZI WA MASHINA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amepiga marufuku kupitishwa kwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Siasa ni nini tuanzie hapo kwanza. Siasa ni shughuli za kumuinua mtu hadhi yake au nguvu yake katika taasisi fulani. Je kiserikali siasa ina maana gani? Hapa tunaona siasa ni shughuli za kichama...
1 Reactions
2 Replies
729 Views
Bila mikutano hiyo unaitangazaje CHADEMA baada ya miaka 6 ya ukandamizaji? Nashauri ajenda Moja kubwa na Rais Samia iwe kuruhusu mikutano ya hadhara ya siasa kufanya siasa.
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Mahakama Kuu Kanda ya Nyanda za Juu kusini , leo imemwachia huru aliyekuwa Diwani wa Chadema Kata ya Isengule , Wilaya ya Tanganyika , Mkoani Katavi , Mheshimiwa Oscar Sangu na wenzake Watano ...
20 Reactions
30 Replies
3K Views
Heshima kwema JF Moja kwa moja kwenye hoja, zamani wananchi walikuwa wanaibua uozo uliko ndani ya wizara, mkoa, wilaya, Idara au hata mashirika ya umma kwa kutoa siri ya kinachoendelea kwa...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi, Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka minne wameachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia...
4 Reactions
2 Replies
632 Views
Dharau zimeanza sasa! Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho. Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Na Marato Sinda, Dar es Salaam Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji ambao...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom