Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huu ni ujumbe kutoka kwa mpigania uhuru wa mwafrika ambaye alikuwa na elimu ndogo na umri mdogo kuliko wanaotusaliti leo akina Lisu
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimepitia maktaba yangu ya mambo ya siasa nimegundua pasi na shaka siku Tundu Lissu mwaka 2014 akikutana na Tundu Lissu wa mwaka 2022 'watauana' . Tundu (2014) hakuwa kwenye gubu. Alikula kiapo...
8 Reactions
83 Replies
6K Views
Mh Rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
7 Reactions
112 Replies
8K Views
Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais. Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo...
1 Reactions
14 Replies
871 Views
Unapokula kichwa mradi wa umeme kutoka bwawa la Nyerere ambao umefikia 50% itabidi watuambie umeme tutatoa wapi?. Unapokula kichwa serikali kuhamia Dodoma na kusema ni hasara itabidi wajieleze...
4 Reactions
10 Replies
829 Views
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya. Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Kagera mh Albert Chalamila amesema Mafuta hayafunguliwi kama bomba la maji kwamba Rais Samia anaweza kufungua na kufunga kama baadhi ya watu wanavyofikiri Kupanda kwa Bei ya...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua barabara ya Chunya - Makongorosi (Km 39) na kuzungumza na wananchi wa Chunya- Matundasi katika mkutano wa hadhara leo...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Hongera Tanzania kwa Kuwa Miongoni mwa Nchi zitakazokuwa Waangalizi wa Uchaguzi wa KENYA kama utaendeshwa kwa HAKI na HURU huku TANZANIA ikiwa ni Miongoni mwa Nchi zenye CHAGUZI zisizo HURU na...
1 Reactions
4 Replies
827 Views
Wabongo sisi kujielewa bado sana ndio maana hata wakoloni walikuja Afrika kututawala kwasababu tunachukulika kirahisi na akili zetu migando sana. Natamani hii serikali ipandishe nauli za dalalada...
29 Reactions
120 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi katika Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo tarehe 05 Agosti, 2022 ====== Rais Samia leo...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Maafisa ishirini na mbili wameteuliwa kuwa majaji mahakama kuu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Leo katika ziara yake Mkoani Mbeya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya Mafuta nchini.
2 Reactions
27 Replies
3K Views
1. Kamwe asingekubali Mita za LUKU kutumika kukata kodi za majengo. Hapa waathirika wengi ni wapangaji ambao wengi wao ni masikini na sio wamiliki wa hayo majengo/nyumba. 2. Kamwe asingekubali...
24 Reactions
70 Replies
5K Views
Tanzania hatuna ukabila kama ule wa Kenya lakini tunao ukabila wa kisayansi ambao huanzia kwenye vyama vya siasa na mfano mzuri ni chama Kikuu cha Upinzani. Kwa mfano nimefanya tathmini ya Awamu...
0 Reactions
1 Replies
463 Views
Niwasalimu kwa JMT.. Kwanza Rais nikukaribishe Mbeya na Wanambeya wamefurahi kwa ujio wako nadhani na wewe umeona vibes ulilokutana nalo huko njiani..watu wamefurahi na Wana matumaini kwamba zile...
2 Reactions
13 Replies
930 Views
.................................................................. Mauaji ya Karume: Misheni ya Tatu: Baada ya kuona namna mwanamapinduzi...
14 Reactions
55 Replies
13K Views
Nimemsikia mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba akiirudia kauli ya Rais Samia kwamba Halmashauri zinajipangia malengo madogo ya ukusanyaji Mapato ili waonekane wanavuka malengo. Halmashauri...
0 Reactions
1 Replies
475 Views
Habari wana JF. Niende kwenye mada hapo juu. Apson Mwang'onda ni mmoja wa DG wa TISS hapo zamani. Anakumbukwa baada ya kustaafu alikuwa team Lowassa akiwa mwanamikakati wa kumsaidia kuusaka...
10 Reactions
163 Replies
43K Views
Back
Top Bottom