Paul Makonda aibuka kidedea, Chadema hoi

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
 
Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

Wa kupimwa akili wewe Kiturilo ...
 
We Kiturilo acha kuandika mambo ya hovyo hovyo la sivyo na wewe utakuwa wa hovyo hovyo.Usihusiche Chadema na huo upuuzi wako.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Utafiti wa hivi karibuni umebainisha wakopaji katika vikoba wengi wao wanakuwa ama na msongo wa mawazo au wanakuwa vichaa, una mkopo wa vikoba Kiturilo.
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
System inazuia kumfikisha kwa pilato kuhofia kumuumbua aliyekuwa ana mtuma na washirika wake ambao wako kwa sanaa kwenye chain ya utawala
Hata hivyo Bashite na yule wa Tanzanite wanaishi maisha ya kujificha Kama mende
 
Inaweekana mwandishi (Makonda) yupo kwenye wakati mgumu na anaweza akawehuka kabisa. kwa mwandiko huu inaonekana kabisa yupo kwenye wakati mgumu hadi anaamua kujiandikia uzi usiooleweka. Muliopo karibu nae mpelekeni kwa kuhani Mussa akamuombee
 
Serikali iweke sheria ya kupima wananchi wake magonjwa ya akili kwa lazima.
Jamii Forum wekeni utaratibu wa kuhakiki vyeti vinavyoonyesha tumepimwa magonjwa ya akili na kuwa tupo salama.
Vile vile serikali iweke sheria ya kuchagua nani azae na nani baada ya kuwapima vizazi..!! Maana kumbination zingine ndo zinatoa watu kama Kiturilo
 
Bashite umeona watu wamekusahau umeamua kuja na akaunti feki kujipa promo, najua unajua ila nakukumbumbusha yule mnyarwanda anayeishi mbweni bado anamtafuna mama Keegan na huna la kufanya
 
Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi.

Ugaidi, Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa, rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu.

CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki kwa namna ambavyo waliyatanabaisha. Nmesubiria kusikia hata kesi moja dhidi ya Makonda kuhusiana na Shutma hizo. Mpaka leo kimya.

Hii inaonesha Makonda alichukiwa na kuonewa sana na Chadema. Huyu jamaa ndo alikuwa punching bag ya Chadema. Baada ya kutokuwa Mkuu wa Mkoa imeonekana kumbe hakuwa a makosa yoyote yale. Issue ilikuwa ni Ukuu wa Mkoa.

Natoa wito Chadema kumwomba Radhi Makonda Paul na kuahidi kuwa hawatarudia tena tabia hizo za kuchafua watu.
Makonda mbona unajipigia promo?
Chongolo uliyemdharau mbele za watu naye CHADEMA?
 
Back
Top Bottom