Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia Suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe...
Wadau niko mbeya kwa ajili ya maonesho ya nane nane, nimeona mwitikio ni mkubwa sana ,unaweza kupotea ulikotokea ,hii imenipa picha kwamba watanzania wana kiu ya kusikia kero za kilimo...
Kuna Mtu miaka kama Kumi ( 10 ) iliyopita aliniambia kuwa kama Genius wa Politics angetafutwa Tanzania kwa miaka ya Karibuni basi ana uhakika kuwa Mzee Abdulrahman Kinana asingekosekana katika...
Habari watanzania na wana CCM,
Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi...
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya mkuu wa mkoa wa njombe mh Antony Mtaka, imekuwa ikinitia hamasa kuendelea kumsikiliza na kuyafanyia kazi yale yote anayotushauli sisi vijana. Huyu jamaa yupo...
Tundu Lisu mwanasheria nguli tunakuombea uachike huko Ubelgiji kwa Amsterdam urudi Tanzania utetee wafanyakazi wanaoteseka na mfumuko wa bei na uongezwaji hafifu wa mishahara yao. Ukiwatetea kwa...
Habari wananchi na viongozi!
Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu.
Mfano: Kazini...
Nimesikiliza video hii ya mtoto wa kigogo Ngowi inasikitisha sana, inaumiza kuona Watanzania wengi maskini lakini kuna watu wana kontena za hela zimejaa mpaka pesa nyingine hawajui wapi...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye...
Kwanza nianze kumpongeza mh Rais kwa ziara yake anayoendelea nayo mkoani mbeya, Baada ya utangulizi huo naomba Sasa nianze kwa kusema hongera Sanaa mh Rais kwa kuikuza secta ya utalii, kiukweli...
Licha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao.
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa.
Aidha...
Hakuna haja ya kuchimba madini kama bado tunayapeleka kama kipindi cha ukoloni, hata kipindi cha biashara na waarabu wazee wetu walichimba na kuuza madini yakiwa yameshachakwatwa.
Mimi binafsi...
WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)!
Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni...
Ndugu zanguni sote tunajuwa ya kuwa my Tulia no mbunge wa mbeya mjini, lakini katika Hali iliyowaacha Wana mbozi mdomo wazi Ni pale mh speaker alipokuja Jimbo la mbozi na wadau wake wa silent...
CCM wanavyo sema wataendelea kutawala mimi huwa nawaelewa sana, na si kwamba wanadanganya hapana ni kweli kwa study walizo fanya.
Na si kwa sababu wamefanya makubwa haoana ni kwa sababu...
Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.
Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama...
Maboresho yanayoendelea kufanywa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), yameibua malalamiko na taharuki kwa wanachama, hasa baada ya baadhi ya wategemezi wakiwamo wazazi, kuanza kuondolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.