Leo nipo jimbo la Mtama, sijaona legacy ya Nape wala Membe

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Kudoda kwa zoezi la chaguzi zinazoendelea ndani ya ccm licha ya mzee Kinana kurejeshwa ni ishara mbaya kwa chama hicho, kauli za kina Nape kwamba ccm kina wenyewe kimeiharibia vibaya mno ccm. Ni lazima Nape alazimishwe kuwaomba radhi wanaccm na watanzania kwa ujumla.

WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kushiriki chaguzi zinazoendelea , watu wanajiuliza yale mamia ya wanaccm waliojitokeza kuchukua fomu za ubunge na ngazi zingine enzi ya utawala wa Hayati Magufuli wameenda wapi?

Kuna hisia kali ndani ya mioyo ya watanzania kwamba sasa ccm imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji na kama ni mzalendo wa nchi ni lazima ukutane na kuchafuliwa na kutukanwa kama anavyofanyiwa Luhaga Mpina na Hayati Magufuli waliposimamia masilahi ya taifa.

WanaCCM wanaojitambua wameghazabika na sasa wameichukia CCM na kimbilio lao wanaona ni Umoja party.

Hayati JPM hachafuki.

WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM
 
Kichwa cha habari na yaliyomo ni tofauti kabisa.

Juu unaongelea Legacy ya Mtama ndani unamnanga katibu mkuu CCM na wanaccm.

Ninyi kanda pendwa ya JPM mtulie tu kwanza watu wa CONNECTION NAO WALE.
 
Kichwa cha habari na yaliyomo ni tofauti kabisa.

Juu unaongelea Legacy ya Mtama ndani unamnanga katibu mkuu CCM na wanaccm.

Ninyi kanda pendwa ya JPM mtulie tu kwanza watu wa CONNECTION NAO WALE.
Hahahaha 😂🤣😂🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom