RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la reli Tanzania, Masanja Kadogosa leo Jumamosi amesema usafiri wa treni ya kisasa unatarajiwa kuanza kati ya Januari au Februari mwaka 2023 pindi watakapokuwa wamepewa kibali na Mamlaka Udhibiti wa Usafiri Nchi Kavu (LATRA).